Am so frustrated and in the big dilemma! I need ur help plzz!

Sabry001

JF-Expert Member
Jun 28, 2011
1,064
353
Nisaidieni jamani kwani naweza kuwehuka. Ni wiki ya pili sasa tangu nianze field ktk shule moja huku Kilimanjaro. Cku 3 za mwanzo ckuona shida kwani ckupata usumbufu ila kuanzia jtatu nimeanza kusumbuliwa kwani vijana 3 ktk hyo ofc kila mmoja ananitaka. Mmoja ni bursar na mtoto wa owner wa shule, wa pili ni academic na mwingine mwalimu mkuu msaidizi. Kwa kweli nimeshachanganyikiwa kwani kwa ukweli simtaki yeyote hapo cuz still nauguza majeraha ya moyo. Nifanyeje manake field ni mpaka september na wote kwa kiasi wana influence ktk ripoti yangu ya kurudi chuo? Nipeni mawazo jamani manake maisha na elimu yangu iko matatani!!

Duh! kisu kimefika kwenye mfupa! pole sana shosti mambo magumu kwa kiasi flani lakini haimanishi ushushe heshima yako kulalanao kisa elimu yako,kumbuka unazungumzia watu 3 hapo wote wanakutaka wewe kesho ukimaliza karani anae atakutaka chamsingi kuana na msimamo na fata uloendea,hao waribifu waache wale kwa macho.

kila mmoja mjibo kwa wakat wake
majibu ya kidiplomasia...ambayo ataondoka uku anacheka..usiwehuke mbona vtu vdogo saaaana ivo?

kila mmoja mpange kwa wakat wake mjaze maneno yake..kuna ofc nyngne wanafanyaga mashndano ya kumpata kila bnt mpya anayeripot ofcn ..tena wakikaa wanasema kabsa ahh nan atampata yule..ahh tutaona wewe awez kuchomoa kwangu mim nina title apa..

sema ukiweza kuwapangua wote na mwshowe kila mtu atasema ahh yule bnt kiboko..APO NDO UTAHESHIMIKA ATA RIPOT YAKO ITAANDIKWA FRESH..NA UTAKUWA RAFIKI WA WOTE..LAKIN UKIJIFANYA KUMPA MMOJA AFU WENGNE WAJUE AHH TEGEMEA UMEUMIA KWENYE RPOT YAKO CZ KILA MTU ANA MKONO WAKE APO ACORDNGLY..

kataa wote.linda heshima yako.wakijua msimamo wako watakueshimu na ripot itakuwa fresh tu...pole

NEVER ON EARTH ...USIJARIBU KAMWE KUMPA MWANAUME MWILI WAKO FOR EXCHANGE OF PESA,KAZI,MALI AU ANY PRIVELEGE..ni laana tena laana bnafsi cz maisha yako yote shetan atakuandamana na atakujaza ujinga like apa uwez kufaniukiwa bila kugawa mwili...ukipandacho...MUNGU YUPO ATAKUSAIDIA..AYO MAJARIBU TU YATAKWISHA..USITETEREKA UKAINGIA DHAMBINI BSHOST...tunza mwili wako cz ni hekalu ilo...fanya yote bt kuhusu kuguswa guswa apana..kuwa mkali kuwa makini..

wsh u gud sweetie

Sometimes uwazi nao unasaidia!! Hizo feeling zako zisikufanye ushushe utu wako!! Kama Boom/pesa ya field lako liko/haliko njema haimaanishi ukubali hizo offer unazopata! jitahidi kulinda heshima. Umesema ulishaumizwa/unauguza, unaweza kufikiri umepata kumbe la hasha!!

Rose naomba contact zako tuanzishe huduma za kiroho. Kindly PM me ur contacts tangu jana naona roho wa Mungu anafanya kazi ndani yako.

thanx my dia! I

your last option.. wagombanishe ...! akija huyu mwambie flani kawahi.. namfikiria!

Sometimes uwazi nao unasaidia!! Hizo feeling zako zisikufanye ushushe utu wako!! Kama Boom/pesa ya field lako liko/haliko njema haimaanishi ukubali hizo offer unazopata! jitahidi kulinda heshima. Umesema ulishaumizwa/unauguza, unaweza kufikiri umepata kumbe la hasha!!

sina hisia zozote kwao na zaidi cjaacpet ofa ya yeyote na wala sina shida ya vijicent vyao, wananikera tu na vijisms vyao!

naomba uweke picha yako hapa tuone hasa juu ya uvaaji wako.Maana wadada wa siku hizi hasa wanavyuo mnatumia sexy dressing code kila mahali.kuanzia nyumbani mpaka makanisani. kwa hali km hizo utatongozwa mpaka na wanafu nzi wakizania we ni loose na unawatega.ANGALIA Hayo NA MENGINE KM HAYO.i

wanasema huwezi kujisifia mwenyewe ila mi ntafanya ivyo! Huwa sivai nguo za kutega au za kuonesha maungo kuanzia nyumbani,chuo na hata hapa nilipo. Am a decent woman and i love my body! Au nguo ndefu na ushungi zinawazingua?

kile kisu ulichomchinjia yule jamaa kimeisha makali? ulisoma ile thread ya how to carry urself around?

fanya field yako.
Maliza uende kwenu.
Mapenz ya field ni sawa na kunya porin kujistiri,
Haimaanish ndo choo cha kudumu means watakukula na kukuacha.
Maliza field rudi kwako.

wanasema huwezi kujisifia mwenyewe ila mi ntafanya ivyo! Huwa sivai nguo za kutega au za kuonesha maungo kuanzia nyumbani,chuo na hata hapa nilipo. Am a decent woman and i love my body! Au nguo ndefu na ushungi zinawazingua?

Pole sana kwa changamoto, lakini ukijiamini unaweza kuvuka vikwazo vyote... Nikijibu hiyo sentensi yako ya mwisho... Amini usiamini, binafsi hapo ndipo ugonjwa wangu ulipo, yaani zinanizingua mno...lol..!!!

Halafu wasichana wana imani za kijinga sana
yaani usipowapa una amini wataandika rioti mbaya?
Usiwape kwanza,halafu subiri hiyo ripoti uone...

Rose naomba contact zako tuanzishe huduma za kiroho. Kindly PM me ur contacts tangu jana naona roho wa Mungu anafanya kazi ndani yako.

ha ha thank u braza....lakin mi naogopa we utanigecha AVATAR YAKO imekaa kugecha gecha...

poa ntakupm kaka usikonde in case nikisahau we dondosha zako nikizikuta ntareply fasta.....may god b wth us...pamoja sana n lov u ol.

Its just part and percel of life.usihofu msimamo wako ndo utakusaidia hapa. acha kujilegeza legeza toa majibu yenye msimamo usiumeume maneno. . Bora waache kusain iyo ripot kuliko kuwapa mwili wako. Be blsd nakutakia fild njema hopefully utashinda haya mapito.

Back
Top Bottom