kwa wanaume upendo ni nini?

ma jery

Senior Member
Jun 15, 2011
171
64
hv wanaume mnajua kupenda?au mnajua tu kutamani? kwanini kungonoka kunakuwa kitu cha zaidi sana kwenye mapenzi
na kwa nini mnapenda kuachana saana baada ya kungonoka na sio kabla?
 
Wakati mwanaume anakuja kwako ana mawili kichwani
Kuwa mpenzi wake na may be future wife wake. Ila kuna mambo ambayo yanatokea hapo kati unajikuta unaishia kutopenda ukajikuta unamtamani na unatamani kungonoka nae tuu na usiwe na malengo yoyote na mhusika.
Kuna wengine real inakuwa ni kuwa tunawatamani tuu na tunawatamani kungonoka nao na kuwaacha ila sitakuonyesha kuwa nakutamani ila nitakuwa na real love kwako ili nipate what i need
Yaani hujakaa kuwa mke ndo maana naishia kukutamani tuu
Na wengi wengu katika umri wa kabla ya ndoa asilimia kubwa ya wale tunaowaambia tunawapenda pale hakuna real love ila kutamani
Ikifikia ule umri sasa wa kuw ana mwenza hapo nitamtafuta mmoja ambaye nitampenda kweli na sio kumtamani
Kama ni mwanamke wa kutamani nikishalala nae sana inafikia kipindi unamchoka na unaamua kubadilisha au umemuona mwingine bomba kuliko wa kwanza hapo lazima ufanye juhudi za kumuacha yule wa kwanza hata kwa visa ili kupata mpya
Duh ni mawazo yangu tuu hayo usinipige mawe Ma Jerry
 
Neno upendo lina maana ya ile hali ya kumpokea na kumkubali mtu kwa jinsi vile alivyo kuanzia mwonekano,tabia na kila kitu alichonacho.hiyo ndio maana ya upendo sasa sijui kwa wanaume ni wangapi humaanisha hivyo kwa jamii iliyomzunguka!hasa kwenye upendo unaouhusisha mahusiano ya kimapenzi!nadhani ni 0.00000.....!asilimia maana wengi upendo kwao ni tamaa za mwili!
 
hv wanaume mnajua kupenda?au mnajua tu kutamani? kwanini kungonoka kunakuwa kitu cha zaidi sana kwenye mapenzi
na kwa nini mnapenda kuachana saana baada ya kungonoka na sio kabla?

Mwanaume ni kiumbe wa ajabu kidogo...inabidi uelewe hilo.. ameubwa na ka ubinafsi...wakati anakuja kwako anataka umsujudie; anataka wewe upate shida kwa ajili yake; anataka wewe umone yeye ni yeye na hakuna mwingine, anataka wewe daima uwe chini yake hata kama ni malkia..

Lakini yeye hataki hata kimoja cha hapo juu kiwe kwake kwa ajili yako wewe mwanamke..
 
mwanaume ni kiumbe wa ajabu kidogo...inabidi uelewe hilo.. Ameubwa na ka ubinafsi...wakati anakuja kwako anataka umsujudie; anataka wewe upate shida kwa ajili yake; anataka wewe umone yeye ni yeye na hakuna mwingine, anataka wewe daima uwe chini yake hata kama ni malkia..

Lakini yeye hataki hata kimoja cha hapo juu kiwe kwake kwa ajili yako wewe mwanamke..
na wanafanikiwa kwa ilo sana.maskini wanawake
 
Mwanaume ni kiumbe wa ajabu kidogo...inabidi uelewe hilo.. ameubwa na ka ubinafsi...wakati anakuja kwako anataka umsujudie; anataka wewe upate shida kwa ajili yake; anataka wewe umone yeye ni yeye na hakuna mwingine, anataka wewe daima uwe chini yake hata kama ni malkia..

Lakini yeye hataki hata kimoja cha hapo juu kiwe kwake kwa ajili yako wewe mwanamke..

Tulizo na huwa tunafanikiwa sana kwa hili na hatujapata upinzani
 
Tulizo na huwa tunafanikiwa sana kwa hili na hatujapata upinzani

Ni kweli mkuu..kwani hatukupenda tumeumbwa hivyo na wanawake wengi wanakubali hivyo...ingawa inatia huruma..ila baadhi ya wanawake wanafumbuka macho hasa wale wanao pitia siredi za JF..
 
Ni kweli mkuu..kwani hatukupenda tumeumbwa hivyo na wanawake wengi wanakubali hivyo...ingawa inatia huruma..ila baadhi ya wanawake wanafumbuka macho hasa wale wanao pitia siredi za JF..

Mkuu hiyo ni percent ndogo sana maana bado hata wakienda majumbani mwao wanakuwa chini ya subordinate ambao ni either waume zao au wapenzi wao. Mkuu ukiniletea kiburi cha humu JF si nakutosa natafuta yule ambaye atajua kuwa mimi ni mwanaume
 
Ha ha ha ha wengine ngangari..watatishia kuwa wataenda kusema nje kuwa huwa unakoroma ukilala au ukinaninii ..halafu mkuu unafyata mkia..au watatishia kukupeleka UMATI..sijui kama bado ipo..
 
Ha ha ha ha wengine ngangari..watatishia kuwa wataenda kusema nje kuwa huwa unakoroma ukilala au ukinaninii ..halafu mkuu unafyata mkia..au watatishia kukupeleka UMATI..sijui kama bado ipo..

Mkuu kama najijua sikoromi usiku nikilala hapo hata akaseme wapi sitaogopa
Akitaka nitaita shule yote niliyopitia waje waproove kama huwa nakoroma
Mkuu jiamini na najua ukijiamini hata atishie kibiriti atakuja kimejaa
 
Mkuu kukoroma kunaanza ukubwani hasa huko nyumbani kwani watu tunakula michemsho, nyama choma, halafu hatufanyi mazoezi zaidi ya 6 x 6 ..matokeo yake sayari nyingine inachomoza maeneo ya tumboni ..halafu tunaishia kujisikia kwa hiyo sayari au wanaita kifriji..eti ndio upedeshee..Mkuu ukijiona unakisayari kidogo..kama hufanyi mazoezi.. binti anaweza rekodi movie ukilala na kukoroma akitumia blackberry au Nokia yake..
 
Mkuu nakupata sana kwa hapo
Ila kwa sisi ambao bado tuna natural body hatujapata sayari nyingine mkuu mazoezi kwa sana na sio kula kiti moto na bia kila siku mkuu ni mziki mnene
Hakuna kupumzika na hakuna kukesha ila zoezi la nusu saa ni kama la saa sita
Ndo maana hatuendi kuongeza utaalam kw avaluer na konyagi ila natural power
 
hv wanaume mnajua kupenda?au mnajua tu kutamani? kwanini kungonoka kunakuwa kitu cha zaidi sana kwenye mapenzi na kwa nini mnapenda kuachana saana baada ya kungonoka na sio kabla?
Hapo kwenye nyekundu, hata tukikuelezea vipi hutaelewa kwa kuwa wewe si mwanaume. Ila kama ungekuwa mwanaume usingeuliza swali hilo. Mfano, kwangu tendo la ndoa au ngono lina nafasi kubwa kuliko hayo malavidavi. Hata kama wewe ni mke wangu wa ndoa, haijalishi ni upendo gani unaweka kwangu, ila bao kwanza mpaka niridhike, then mengine yaendelee.
  1. MEN LOVE THROUGH SEX, WOMEN SEX THROUGH LOVE.
  2. MEN JUST LOOKS FOR A PLACE TO SEX, WOMEN NEED A REASON TO SEX MAN
 
mwanaume yeyote huanza na kutamani, utasikia I LOVE U, kila anayemtamani atamwambia I love you. Na ujue wanaume hawaoi out of love ndo maana ailimia kubwa huvutiwa na maumbo ya nje ya mwanamke. Ni tofauti na sisi wa jinsia ya -ke. Inabidi tuwaelewe hawa viumbe kwani ukiwa na matarajio ya kuutambua upendo wa mwanaume utaishia kulazwa hoapital kwa ajili ya headache.
 
Back
Top Bottom