Uktongoza Dumu Student First date Anakuja na Marafiki zake! hata 10 why?

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
Dah! hili jambo huwa linanitatiza Sana sielewi mademu ambao ni ma student huwa wako au wanafanana kitabia. Hii habari nilikuwa naisikia tangu zamani. kuwa Ukitongoza Demu mwanafunzi first date anakuja na marafiki zake kuanzia wawili hadi kumi!

Sielewi kama huwa wanakuwa na dhamira gani, kwani kama ndio umemuita sehemu kwenye kihotel mje mtalk kubadilishana maneno mawili matatu na uwongo mwingi na sababu zilizokufanya umuite na mfukoni unakuwa na vifedha vyako kiduchu huku ukiamini hicho kihotel saizi na Student na wewe.

Time zikifika utamuona anaingia na jeshi lake huku akijidai na kuwatambulisha washikaji zangu hawa huyu fulani yule nanihii nk hadi anawamaliza kisha anakuja na kwako jamani huyu ndio shemei yenu wa pekee.

Ukianza kujiwazia leo siku ya kuumbuka imewadia huku unajipa moyo hawa nawazungushia round moja nadhani watasepa ukiona hakuna dalili za kuondoka jifanye unaenda chooni na utokomee huko huko demu si saizi yako ni mchunaji. Swali linakuja kwa nini huwa Wengi huwa hawaji peke yao.
 
Inabidi mjifunze how to be a bad boy hata kwa siku moja tu
Ni kweli bana,mimi enzi zangu shule/chuo akija na rafiki yake nae namtongoza akitoa nafasi hata dakika 5.Wakawa wanaambizana mwishowe nikiita mtu anakuja peke yake.Wakija zaidi ya wawili nawaacha pale na bili silipi.
 
jua ya kuwa amegundua una nia mbaya dhidi yake kwa hiyo kaja na jeshi la kumlinda na uovu uliomwandalia mwenzio................vinginevyo amekuja kukuchuna vilivyo au kuthibitisha kwa ushahidi wa yale ambayo amekuwa akiwanongoneza wenzie dhidi yako.........huku akiwatambia ya kuwa kumbe unamzimiazimia vile na wenzie wamekuwa wakimbishia sasa anathibitisha mbele yao.....usighafilike chunguza ujua nia yao ni ipi kabla ya kulalama......
 
Raisi wa pemba hicho kichwa cha habari kimeniwacha hoi !... ati DUMU
 
Wawili tu Nikaona ni Issue So Sikujaribu tena na siwatizami twice
...achana na madenti wengi wao wanakosa confidence once ukidatte nae soanatafuta kampani. Na pia wengi wao wanakuwa influenced na rafiki zao kwa mfano kama atakuja na mwezi/wenzie na wakawa na negativeimpression kuhusu wewe ujue umemkosa huyo. Niliwahi kudate na dent wa CBE Dodoma 1st day wakaja 4 bahatii wallet ilikuwa imara nika-manage. Nilipofanikisha nilimuuliza mdau kwa nini 1st date alikuja na wenzake wanne. akanipa hiyo lack of confidence na kupenda friends waku-assess na kutoa comments zao ili kama ni kimeo asichekwe!!
 
[h=2] Uktongoza Dumu Student First date Anakuja na Marafiki zake! hata 10 why?[/h]
 
Dah! hili jambo huwa linanitatiza Sana sielewi mademu ambao ni ma student huwa wako au wanafanana kitabia. Hii habari nilikuwa naisikia tangu zamani. kuwa Ukitongoza Demu mwanafunzi first date anakuja na marafiki zake kuanzia wawili hadi kumi!

Sielewi kama huwa wanakuwa na dhamira gani, kwani kama ndio umemuita sehemu kwenye kihotel mje mtalk kubadilishana maneno mawili matatu na uwongo mwingi na sababu zilizokufanya umuite na mfukoni unakuwa na vifedha vyako kiduchu huku ukiamini hicho kihotel saizi na Student na wewe.

Time zikifika utamuona anaingia na jeshi lake huku akijidai na kuwatambulisha washikaji zangu hawa huyu fulani yule nanihii nk hadi anawamaliza kisha anakuja na kwako jamani huyu ndio shemei yenu wa pekee.

Ukianza kujiwazia leo siku ya kuumbuka imewadia huku unajipa moyo hawa nawazungushia round moja nadhani watasepa ukiona hakuna dalili za kuondoka jifanye unaenda chooni na utokomee huko huko demu si saizi yako ni mchunaji. Swali linakuja kwa nini huwa Wengi huwa hawaji peke yao.

Hao hawaalikwi Hotelini! na ikiwa hivyo umpe kabisa condition kuwa sehemu hiyo ungependa aje peke yake. Lakini wanafunzi sio watu muafaka wa hayo masuala maana segerea unaitafuta.
 
Ita huduma bili kwao, uwe makini kumpa taarifa Bar man au bar maid

Lazima ujifunze ukauzu.
 
Iliwahi nitokea wakaja wawili ila yule aliyemwita tukamake chemistry ya ajabu ,eye contact ilikuwa kama ananiambia welcome,so date nyingine nkamwambia aje nae tena ,akasema "Nyokooo..."sikuelewa anamaanisha nini akaja mwenyewe!
 
Back
Top Bottom