Waafrika wote wa jinsia ya kike na ya kiume wanapenda sana kufikiria masuala ya mapenzi zaidi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waafrika wote wa jinsia ya kike na ya kiume wanapenda sana kufikiria masuala ya mapenzi zaidi.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by twenty2, Aug 18, 2011.

 1. twenty2

  twenty2 JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 296
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kwa mtazamo wangu na utafiti wangu waafrika wengi wanapenda sana kufikiria masuala ya mapenzi zaidi kuliko masuala ya maendeleo zaidi,mfano watu wengi wakiwa na mawasiliano ya jinsia tofauti hukifuatilia chazaidi wanacho wasiliana ni mapenzi na sio kujadili mambo mengine yanayoweza kuleta maendeleo nchini.pia waafrika haohao wanapenda sana kufuatilia mambo ya starehe zaidi kuliko mambo yanayoendelea katika nchi yake.mfano mtu anahacha kufuatilia bunge linavyoendelea or habari zinazoendelea nchini.
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Aug 18, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Very funny
   
 3. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #3
  Aug 18, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Utafiti wako umehusisha Waafrika ukilinganisha na nani?
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Aug 18, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Gaijin san....hatuko darasani hapa dada. Ukimpeleka huko mwenzio utamchanganya tu.
   
 5. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #5
  Aug 18, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mie huwa nafikiria pesa aiseeee ...
   
 6. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #6
  Aug 18, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  we wa wapi??
  i mean umetoka bara gani??
   
 7. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #7
  Aug 18, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Kwani wewe wa wapi? The land down under?
   
 8. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #8
  Aug 18, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Ndo starehe iliyobakia na sometimes ni affordable!
   
 9. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #9
  Aug 18, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Mi napenda sana kufikiria sijui wewe
   
 10. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #10
  Aug 18, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  hilo swali si lako..
  ni la mwenye hii thread ..
  Mi wa TANZANIA.....
  (sweet home)..
   
 11. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #11
  Aug 18, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Basi mimi sio mwafrika maana mara nyingi mawazo yangu yako kwenye desh desh...kitabu na chapaa!!
   
 12. t

  the mkerewe JF-Expert Member

  #12
  Aug 18, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 232
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mimi nafikiria vita zaidi
   
 13. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #13
  Aug 18, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Dada 22,
  kwanza: angalia user view wa jukwa la siasa alafu linganisha na jukwaa zingine, utaona hujasema kweli.
  Pili: hata kama ingekua kweli, I think it is because they can afford it. Huna haja ya kununua gazeti, kua na TV ao kua msomi kwa kujadili maswala ya mapenzi. Cheki latin america, cheki asia, movies zao ni za mapenzi tu, kama sisi. na hata ulaya na america utakuta watu masikini masikini wanaenjoy sana kuangalia movies za mapenzi na kuzungumzia mapenzi.
  Tatu: Kwa mtu kujadili maswala ya mandeleo he needs to be exposed to maendeleo ao kufaham kwamba maoni yake yatachukuliwa kwa thamani yake na kufanyiwa kazi. kama sivyo basi ni udaku tu kama ungine coz hana impact. kumbe bora tujikalie MMU hapa, at least tunakua na impact. lol
   
 14. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #14
  Aug 18, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  nafikiri amehusisha waafrika vs waafrika,...anyway sidhan kama ni kweli ktk hili
   
 15. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #15
  Aug 18, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,141
  Trophy Points: 280
  wazungu ndio usiseme wametuacha mbali, yani kwao ni basic need, ukiwa umeshikwa na libido meneja anakupa ruhus ukamalize kiu zako.
   
 16. BlackBerry

  BlackBerry JF-Expert Member

  #16
  Aug 18, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 1,844
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo kwa mtazamo wako wazungu hawafikirii mapenzi kuliko waafrika? nani kati yao ameweka mambo ya ngono kipaumbele, mavitabu wao, mapono movie wao, guys/lesbian embu fikiria hilo, labda ungesema dunia nzima sio waafrika tu
   
 17. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #17
  Aug 18, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Kumbe anayataka lakini hayawezi? Haya namuwacha aendelee na utafiti wake usiohitaji darasa
   
 18. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #18
  Aug 18, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  nafikiri mchango wako una ka_ukweli ingawa si kwa sana
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Aug 18, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Hivi kwa nini Wahindi na Wachina wako wengi sana? Je, inaweza ikawa ni kwa sababu wanangonoka sana? Kwa sababu ukifikiria, kwani watu wanazaliwaje?
   
 20. t

  the mkerewe JF-Expert Member

  #20
  Aug 18, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 232
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tena kuna mitaa ambayo wauzaji wana leseni na vyeti vya afya ili iyo huduma iwepo hata kwa asiye na mwenza
   
Loading...