TFDA wanajua hatari inayotukabili wanaume wa leo?

Kyembe

Member
Aug 13, 2011
7
3
Kuna wimbi la kuongezeka kwa waganga wa dawa za miti shamba wanaodai wanatibu nguvu za kiume, ikiwa ni pamoja na kuongeza urefu na unene wa maumbile ya kiume hadi kufikia inchi "6.5 kwa urefu na "3 unene. Wanasambaza vikaratasi vya matangazo ya dawa hizo kwa wingi na watu wanaitikia wito kwa kununua dawa hizo kwa kuwa kuna watu wenye matatizo hayo kwa wingi siku hizi. Je tfda au kitengo cha dawa asilia muhimbili wanalijua hilo na je wanachukua hatua gani??? Tulikwishaona madhara ya madawa ya aina hiyo kwa baadhi ya watu haswa kwa naniii zao kuwa oversize...wadau tfda wako wapi
 
TFDA wapo ofisini kwao, wao hawahitaji kuongeza ukubwa wa nyume zao,mtajiju nyie wenye vipisi
 
Usimkosoe Mungu wako jinsi alivyokuumba, tafuta ni namna gani unaweza kukitumia vizuri ulichonacho!
 
sasa wewe unataka upana wa ndudu ufiki 3" ili iweje?? hata huyo anayekubali baada ya mda elasticity si itakua ne chi?
 
kama vile matatizo ya vibamia yamezidi siku hizi tatizo ni nini? au kutahiriwa mapema (wadogo/wachanga) kunachangia?? hayo ni mawazo yangu tu!!!!
 
Mi ni mtumiaji mzuri, wala siajpata madhara...lol

Haloooooooooooooooo!!! kumbe mko humu humu? Haya kaka nna swali la kizushi,Tangu umeanza kutumia mpaka sasa maendeleo yakoje?
am sure wana JF wangependa kujua.
 
kama vile matatizo ya vibamia yamezidi siku hizi tatizo ni nini? au kutahiriwa mapema (wadogo/wachanga) kunachangia?? hayo ni mawazo yangu tu!!!!

Lady N,,,,,No! NO! mimi nilitahiriwa nikiwa bado mchanga but still nina bonge la mhogo! Anyway,in otherside umesema hayo ni mawazo yako.
 
Jamaa wanafanya biashara,ukubwa wa mwiko si sababu chamsingi ni je unawezaje kusonga ugali hadi uive kwa kutumia sufuria tofauti?unaweza kuwa nao mkubwa then ukashindwa kuivisha.
 
True, likitu kubwaaaa mtu anafakamia tu utadhani simba kaona swala, cha muhimu ni kujua mapishi tu
 
Ukweli unabaki palepale,vibamia vipo unakuta jitu zima anamiliki 3" ukikohoa kidogo tu kamekimbia,wapeni ushauri wa kuwasaidia!
 
Kuna wimbi la kuongezeka kwa waganga wa dawa za miti shamba wanaodai wanatibu nguvu za kiume, ikiwa ni pamoja na kuongeza urefu na unene wa maumbile ya kiume hadi kufikia inchi "6.5 kwa urefu na "3 unene. Wanasambaza vikaratasi vya matangazo ya dawa hizo kwa wingi na watu wanaitikia wito kwa kununua dawa hizo kwa kuwa kuna watu wenye matatizo hayo kwa wingi siku hizi. Je tfda au kitengo cha dawa asilia muhimbili wanalijua hilo na je wanachukua hatua gani??? Tulikwishaona madhara ya madawa ya aina hiyo kwa baadhi ya watu haswa kwa naniii zao kuwa oversize...wadau tfda wako wapi
.

Sasa hii hatari inawakabili wanaume au wanawake? kwakuwa sisi tunaletewa dawa za kuongeza nanii na wanawake wanaletewa dawa za kufanya nanii yao kuwa ndogo na tight. sasa nani hapo mwenye hatari?
 
Haloooooooooooooooo!!! kumbe mko humu humu? Haya kaka nna swali la kizushi,Tangu umeanza kutumia mpaka sasa maendeleo yakoje?
am sure wana JF wangependa kujua.

Nimeongeza wanawake kutoka wawili hadi wanne...
 
Back
Top Bottom