Wanawake wa kitanzania!

JACADUOGO2.

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
930
217
Hivi ni kwa nini wanawake au wasichana wanavaa nguo zinazoacha matiti yao wazi?
Ni ujanja au ni ujinga na upumbavu na ukosefu wa maadili?
Mbona watanzania tunapenda kuiga mambo mabayo tu kutoka kwa wenzetu wakati kuna mambo mengi mazuri ambayo tungeiga kutoka kwa wenzetu?
Mama mzima unafurahi watoto wako wanapoangalia hayo matiti yako? Hayo matiti yako anatakiwa ayaone mume wako na wala siya ya kila mtu! Tuache upumbavu na kuiga vitu vya ajabu ajabu visivyokuwa na tija!
Dada mzima unafurahi baba yako, kaka zako au wadogo zako wanapoyaangalia hayo matiti yako? Je, unawafundisha nini? Tuache ulimbukeni kama hizo ndugu zangu!

Mbona nyie mnavyovalia suruali zenu magotini hatusemi? Tazama mambo yatakayokuletea maendeleo sio vifua vya watu.

Kazi ipo kweli unajua maana nzima yao ni kututega na matiti yao tena wanayabana ili yaonekane kama dodo kumbe malapa. na hayo mtako yao yakichina ndio usiseme chup hawavai na kama akivaa basi vile vyenye kimstari 2 nyuma kina ziba mbele2. na shangazao wanaonadili ku2onesha kwenye magari wakati wanajidhalilisha2 na hawana wakipatacho zaidi ya kushushika thamani. mi nawaona wapuuzi kweli. kama ni fasheni wajue imepitwa na wakati na zama

Hivi ni kwa nini wanawake au wasichana wanavaa nguo zinazoacha matiti yao wazi?
Ni ujanja au ni ujinga na upumbavu na ukosefu wa maadili?
Mbona watanzania tunapenda kuiga mambo mabayo tu kutoka kwa wenzetu wakati kuna mambo mengi mazuri ambayo tungeiga kutoka kwa wenzetu?
Mama mzima unafurahi watoto wako wanapoangalia hayo matiti yako? Hayo matiti yako anatakiwa ayaone mume wako na wala siya ya kila mtu! Tuache upumbavu na kuiga vitu vya ajabu ajabu visivyokuwa na tija!
Dada mzima unafurahi baba yako, kaka zako au wadogo zako wanapoyaangalia hayo matiti yako? Je, unawafundisha nini? Tuache ulimbukeni kama hizo ndugu zangu!

yaani mimi mwenyewe huwa najiuliza hili swali...

Mbona nyie mnavyovalia suruali zenu magotini hatusemi? Tazama mambo yatakayokuletea maendeleo sio vifua vya watu.

Tatizo ninyi kina DADA hadi maofisini mwavaa hivo.. uliona wapi rijali ambaye jamali wa umbo mwenye wajihi mwema akiwa ofisini akavaa suruli yashuka hadi makalioni..?

Wanadumisha mila ya mwafrika matiti nnje nnje. Shuhudia mambo swaziland kwa mswati na baadhi ya jamii za wafugaji .

hahahaha, wanatumia uhuru wao, mbona tuliiga kuvaa nguo, hatukulalamika, sasa tunaona kuvaa nguo ni utamaduni wetu, na ule wa awali wa kutokuvaa nguo ni wa kuiga, hivyo tunalalamika, kwa ujumla swala la kuvaa ni uhuru wa mtu, tuwache watu wavae wanavyotaka.
Standard za kusema kuvaa nguo, au kutofunika sehemu fulani ni hukumu zisizo na tija, wacha dada zetu wajinafasi wanavyotaka wao. Kama wanakukwaza, ni kuwa unakwepa jukumu lako la kushinda vishawisi.
Angalia hii picha ilipigwa miaka ya 1900, moshi angalia mabinti nyuma ya huyu jamaa je waliiga wapi kutokufunika matiti?
465px-Wadshagga-Tribesman.jpg

Kama mnataka mabadiliko basi anzeni na watoto/wadogo zenu huko majumbani kwenu sio unalaumu wakati kwenu unawafurahia.

Mbona nyie mnavyovalia suruali zenu magotini hatusemi? Tazama mambo yatakayokuletea maendeleo sio vifua vya watu.

So,hii ndo justification ya kuacha vifua vyenu nje?Inatakiwa ujibu hoja sio kuleta excuses!!

Kama mnataka mabadiliko basi anzeni na watoto/wadogo zenu huko majumbani kwenu sio unalaumu wakati kwenu unawafurahia.

Nyie wadada vipi?Badala ya kujibu hoja mnatafuta visingizio,kosa halihalalishwi na kosa!

Hii nzuri, imekuja wakati muafaka wa mfungo, akina dada punguzeni kdg mfungo upite

Nyie wadada vipi?Badala ya kujibu hoja mnatafuta visingizio,kosa halihalalishwi na kosa!

kwani we umekatazwa kujibu? Mi sijaona kama ameuliza bali anakemea na kama ni swali ambalo we huwezi kulijibu basi sio lazima na mi nilijibu. Unaweza ukadhani kuwa natafuta kisingizio ili kutetea hao wanaovaa hivo la hasha!....... coz mi mwenyewe sio muumini wa huko!! Kumrekebisha mtoto sio kazi kama ilivo kwa mtu mzima(mwenye kusikia na asikie)!!

Wadada huwa ni kazi sana kuelewa!!!!

kwani we umekatazwa kujibu? Mi sijaona kama ameuliza bali anakemea na kama ni swali ambalo we huwezi kulijibu basi sio lazima na mi nilijibu. Unaweza ukadhani kuwa natafuta kisingizio ili kutetea hao wanaovaa hivo la hasha!....... coz mi mwenyewe sio muumini wa huko!! Kumrekebisha mtoto sio kazi kama ilivo kwa mtu mzima(mwenye kusikia na asikie)!!
KiSWEET kua mtoto mzuri uache kubishana na mwenzio hapo juu maana yeye kila kinachomhusu mwanamke kizuri au kibaya anapinga na kuponda!

hahahaha, wanatumia uhuru wao, mbona tuliiga kuvaa nguo, hatukulalamika, sasa tunaona kuvaa nguo ni utamaduni wetu, na ule wa awali wa kutokuvaa nguo ni wa kuiga, hivyo tunalalamika, kwa ujumla swala la kuvaa ni uhuru wa mtu, tuwache watu wavae wanavyotaka.

Standard za kusema kuvaa nguo, au kutofunika sehemu fulani ni wa kuletwa na hao hao.

Angalia hii picha ilipigwa miaka ya 1900, moshi  angalia mabinti nyuma ya huyu jamaa je waliiga wapi kutokufunika matiti?

Nimependa hiyo safi sana..
Ukweli mtupu. Thank ypu

Hivi ni kwa nini wanawake au wasichana wanavaa nguo zinazoacha matiti yao wazi?
Ni ujanja au ni ujinga na upumbavu na ukosefu wa maadili?
Mbona watanzania tunapenda kuiga mambo mabayo tu kutoka kwa wenzetu wakati kuna mambo mengi mazuri ambayo tungeiga kutoka kwa wenzetu?
Mama mzima unafurahi watoto wako wanapoangalia hayo matiti yako? Hayo matiti yako anatakiwa ayaone mume wako na wala siya ya kila mtu! Tuache upumbavu na kuiga vitu vya ajabu ajabu visivyokuwa na tija!
Dada mzima unafurahi baba yako, kaka zako au wadogo zako wanapoyaangalia hayo matiti yako? Je, unawafundisha nini? Tuache ulimbukeni kama hizo ndugu zangu!

serena_williams111.jpg
jlodress.jpg

sagging-pants.jpg
images
images

images
images
images

Back
Top Bottom