Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,258
- 20,709
What is the purpose of your mariage?Nini lengo na matarajio ya mahusiano uliyoanzisha?Wengine hudai wametoka kwao wameacha chakula,vitanda nk ila hakikuwepo kitu kimoja tu(sex)je hiki ndo kinachofanya watu waoane au wawe na mahusiano?Au kuna sababu nyingine?Unachokifanya sasa hapo ndo lilikuwa lengo lako?Kuna sababu zaidi ya moja ya kumfanya mtu afunge ndoa?Au umeingia kwenye ndoa kwa kufuata mkumbo?Je umewahi kujiuliza hili swali?Mlio kwenye ndoa tusaidieni,ili walio nje na wanaotaka kuingia wapate "aidia" kama kuna sababu au ni kufuata mkumbo,au waingie kwa sababu kuna kuingia kwenye ndoa au waingie kwa sababu ya mwili!!