Faida za kutoka nje ya ndoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Faida za kutoka nje ya ndoa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Salimia, Jul 28, 2011.

 1. S

  Salimia JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 665
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Naamini kila jambo lina faida na hasara zake. Lakini je kutoka nje ya ndoa kuna faida zipi hasa? Na hasara zake ni zipi? Pekee ninalolijua miye kwa personal experience, inasaidia sana kumheshimu mume/mke wako baada ya kukutana na matakataka mengi huko nje!
  Nawasilisha
   
 2. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  inafaida na hasara,kwa faida!unaweza pewa vi2 ambavyo kimsingi huvipati ndani,hasara,costful,accessible to deseases
   
 3. RedDevil

  RedDevil JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2011
  Joined: Apr 30, 2009
  Messages: 2,287
  Likes Received: 903
  Trophy Points: 280
  Faida: Ni kubadili tu mtu wa kufanya naye ndoa baada ya kushindwa kumtunza vizuri mkeo, hivyo unakuwa humtamani tena, au umemtunza kajinenepea kupita kiasi hata humuelezi namna ya kutunza mwili wake.

  Hasara: Kujitafutia magonjwa, kujitakia mwisho mbaya na mke wako, kujenga chuki na watoto wako uliozaaa na mkeo, kujiongezea majukumu ya kutunza mke mdogo au hawala.
   
 4. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #4
  Jul 28, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwanini utoke nje ya ndoa!
  Unachokitafuta huko ni nini haswa?
  Mimi binafsi sioni faida yoyote!
   
 5. S

  Salimia JF-Expert Member

  #5
  Jul 28, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 665
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Sasa mkuu ukila chungwa kila siku,, ukiona ndimu utadhani nayo ni tamu kama chungwa. Ila ukionja hiyo ndimu ndipo utaliheshimu sana chungwa la kila siku. Waswahili wanasema kusaliti ni kama kulamba shubiri,, bila kuionja unaweza kudhani ni tamu lakini utakapoonja na kubaini ni chungu siku nyingine huwezi kurudia kulamba.
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Jul 28, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kuleta mateso kwa familia na magonjwa!
   
 7. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #7
  Jul 28, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ndio maana unashauriwa umalize kila kitu kabla ya kuingia kwenye ndoa!
  Test kila aina!! Ukishaingia nunakuwa huna ulichokiacha nyuma!
   
 8. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #8
  Jul 28, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Hizi topics.... mtihani kwa kweli.... Dah!
   
 9. S

  Salimia JF-Expert Member

  #9
  Jul 28, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 665
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kwanini tena AshaDii?
   
 10. S

  Salimia JF-Expert Member

  #10
  Jul 28, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 665
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Katika dini ama kabila na jamii zingine bikra ndiyo kigezo cha kuolewa,, sasa hayo mambo utayamaliza lini na wapi?
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Jul 28, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Kwa mtaji huu I might as well stay unmarried forever!
   
 12. FiQ

  FiQ JF-Expert Member

  #12
  Jul 28, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Aiseee!
  basi na mm ntatafuta mwenye bikira,
   
 13. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #13
  Jul 28, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  1. So you are part and parcel of it?????
  2. Unaposema personal experience unamaanisha tayari umeishatoka nje ya ndoa yako???
   
 14. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #14
  Jul 28, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  hakuna faida zaid sana kuna hasara.
   
 15. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #15
  Jul 28, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Halafu wewe ulikuwa wapi???
   
 16. r

  rakeyescarl JF-Expert Member

  #16
  Jul 28, 2011
  Joined: Dec 9, 2007
  Messages: 408
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ndio maana vijana siku hizi kuepuka na hayo wanajitahidi kuja kufikia kidato cha 2 wanakuwa shughuli za muhimu zote zinazohusu kuvunja amari ya 6 wameishamaliza na kufanya majaribio kwa ambazo ni kubwa zenye V na zisizo etc ,wakiingia chuo wameishaoana unofficially ,wakimaliza chuo ndio wanafikiria kama waoe officially wale raha au waachane na hiyo karaa kutegemea na majaribio yalitoa majibu gani
  Cha muhimu hapo, kulaneni njeeeeeeeeeeeee mkimaliza mrudi ndani mtunze vitoto.Wenye bahati ni waliolazimishwa kuoa/kuolewa..
   
 17. B

  Baikoko Senior Member

  #17
  Jul 28, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 108
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Faida yes, kama kwa awali kumetengeneza hasara, otherwise hasara kwa kwenda mbele
   
 18. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #18
  Jul 28, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hata ukipata sampuli ya nyumba kubwa?!
   
 19. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #19
  Jul 28, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Ilikuwa zamani, sasa hivi mambo yamebadilika!! Mwanamke bikira utamtatia wapi? Labda za kichina!
   
 20. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #20
  Jul 28, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Faida ni kugundua kwamba hukupaswa kuoa/kuolewa!!
   
Loading...