Is she okey?...nifanyeje?

Elia

JF-Expert Member
Dec 30, 2009
3,425
567
X wangu amegeuka hataki tuachane,
nimemuonyesha msimamo wangu,
sasa amekuja na sharti/ombi jipya.
Eti nimtafutie mwanaume wa kuchukua nafasi yangu.
I thought she was jocking but dud, she keep on calling,
nipeni ushauri wakuu. how can i get rid of her once and for all
kwani mimi Sasa hivi nina mwingine.

NB: sababu ya kuachana ni tofauti za kidini, kati yetu hakuna aliyekubali kubadili

elia, inakuwaje hataki muachane wakati wewe tayari una mwingine?
au ww ndo wataka hutaki? na wewe ni nani alimtafutia? stand on ur ground, muambie mlishaachana. she will get around tu, bado yuko kwenye shock. afu mu-introduce huku love connect ajishindie manake radar hawashughuliki na recruitment ya wachumba.

kwani
mimi Sasa hivi nina mwingine.

Well said dada!Big up!Kijana zingatia haya!

X wangu amegeuka hataki tuachane,
nimemuonyesha msimamo wangu,
sasa amekuja na sharti/ombi jipya.
Eti nimtafutie mwanaume wa kuchukua nafasi yangu.
I thought she was jocking but dud, she keep on calling,
nipeni ushauri wakuu. how can i get rid of her once and for all
kwani mimi Sasa hivi nina mwingine.

NB: sababu ya kuachana ni tofauti za kidini, kati yetu hakuna aliyekubali kubadili

Una elekea na wewe kumuacha pia hutaki bado kisebu sebu na kiroho kipapo, mueleze ukweli kama ulivyo jieleza hapo juu kwanza wewe sio kuadi
wakumtafutia mwanamme mwengine sababu wewe ni mwanamme ulokamilika, na dini ndio kikwazo na wewe umeshafikia umri labda unataka kuoa,na umeshapata mwengine ambae dini yenu inaruhusu kuowana mueleze kwa hekma atakuelewa na uwe mwenye msimamo,sikwambi nirahisi kumueleza lakini ukiwa kama mwanamme nilazima uwe na mamuzi japo nimagumu la sivyo hata huyo ulonae pia hamtakua na raha as long as hujafanya mamuzi kwa huyo dada.

hebu kata mawasiliano na huyo ex. Pia kuwa serious kwenye maamuzi yako, na msisitizie aheshimu msimamo wako. hii ni muhimu kwa wewe kusonga mbele na uhusiano mpya na yeye kuweza kukutoa moyoni mwake na kuishi bila wewe

X wangu amegeuka hataki tuachane,

nimemuonyesha msimamo wangu,

sasa amekuja na sharti/ombi jipya.

Eti nimtafutie mwanaume wa kuchukua nafasi yangu.

I thought she was jocking but dud, she keep on calling,

nipeni ushauri wakuu. how can i get rid of her once and for all

kwani mimi Sasa hivi nina mwingine.

NB: sababu ya kuachana ni tofauti za kidini, kati yetu hakuna aliyekubali kubadili

1. Huyo anakutania/kukukomoa
2. Anakupima
3. Hana nia njema na wewe ie anataka kukukeep busy ili muda wote umuwaze.
4. Hauheshimu uamuzi wako.

cha kufanya

mpotezee, ikiwezekana dont receive her calls, and replyin sms

X wangu amegeuka hataki tuachane,
nimemuonyesha msimamo wangu,
sasa amekuja na sharti/ombi jipya.
Eti nimtafutie mwanaume wa kuchukua nafasi yangu.
I thought she was jocking but dud, she keep on calling,
nipeni ushauri wakuu. how can i get rid of her once and for all
kwani mimi Sasa hivi nina mwingine

NB: sababu ya kuachana ni tofauti za kidini, kati yetu hakuna aliyekubali kubadili

Are you OK with her condition that you look for a replacement? What did you say when she first introduced the condition? Umeuliza ni ju=insi gani utaachana naye: je ina maana hamjaachana au bado unahisia za mapenzi na huyo bibie? Mimi nadhani huyu mwanamama ameshahisi kuwa wewe bado unamhitaji na ndio maana amekupa mtihani wa kumtafutia mtu mwingine badala yako. Anadhani hiyo inaweza kuwa gia nzuri ya kukufanya ubadilishe mawazo ya kumuacha kwa sababu za wivu.

Haka katabia haka ka mtu kukwambia basi nitafutie replacement kanazidi kujengeka na mimi mshkaji wangu alisumbuliwa sana.... Huku ni kupeana majukumu yasiyotekelezeka mpotezee huyo!

Aisee elia huo mzigo wako nimeumaind so ka vp muunganishe kwangu.

Mimi nina wasiwasi na wewe pengine ulipenda mzigo huo utumie tu ila ukaingia kwa gia ya kutaka koua.wengine hawadanganyiki kaka
shauri yako!!

she is ok. hata wewe ungekuwa kwenye position yake ungefanya hivyo hivyo...angeanza kukuacxha wewe ungeumia hivyo hivyo hata kama na wewe ulikuwa unataka kuachana nae....time is the best healer...cha msingi punguza mawasiliano nae (distance yourself)

X wangu amegeuka hataki tuachane,

nimemuonyesha msimamo wangu,

sasa amekuja na sharti/ombi jipya.

Eti nimtafutie mwanaume wa kuchukua nafasi yangu.

I thought she was jocking but dud, she keep on calling,

nipeni ushauri wakuu. how can i get rid of her once and for all

kwani mimi Sasa hivi nina mwingine.

NB: sababu ya kuachana ni tofauti za kidini, kati yetu hakuna aliyekubali kubadili

tell her 2 move on with her life like the way u did

Elia bana eti hataki muachane wakati wewe tayari una mwingine!
Unajua umenichanganya nakuona kuwa na wewe unamatatizo
Inakuwaje una mwingine halafu EX hataki muachane
Ina maana unaendelea na EX wako wakati huo huo
Una mwingine!!
Im so confused!!!!!

Elia na nyie mmekubali hili la dini liwashike kweli? mconnect huku kwenye love cnct maybe anaweza pata na yeye kama wewe ulivopata,kwani wewe mlivoachana uliibua wapi kitu kipya?

X wangu amegeuka hataki tuachane,
nimemuonyesha msimamo wangu,
sasa amekuja na sharti/ombi jipya.
Eti nimtafutie mwanaume wa kuchukua nafasi yangu.
I thought she was jocking but dud, she keep on calling,
nipeni ushauri wakuu. how can i get rid of her once and for all
kwani mimi Sasa hivi nina mwingine.

NB: sababu ya kuachana ni tofauti za kidini, kati yetu hakuna aliyekubali kubadili

Ni PM kaka nikuondolee hiyo ghasia

• Thanks
Reactions: FiQ

Similar Discussions

Back
Top Bottom