Bila shaka wanawake akili yenu inafanya anticlockwise! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bila shaka wanawake akili yenu inafanya anticlockwise!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KakaKiiza, Aug 6, 2011.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,272
  Trophy Points: 280
  Nimesikitika leo baada ya kumwona Mwanamziki ajulikanae kwa Jina la JAFFARAIH anaendesha gari ya Shyrose banj Toyota Herrier na anaingia kwake leo tarehe 6/8/2011!Kwajinsi alivyo mwanika kajamaa haya pydokj
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  wagombanao ndo wapanao
   
 3. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Acha umbea...mapenzi yao yanakuhusu nini?

  Kama kweli imekugusa mbona huulizi iweje mwanaume karudi kwa mwanamke aliyesema hafai?!
   
 4. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #4
  Aug 6, 2011
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  KakaKiiza hiyo Title yako ya hii thread kwa kweli imenikwaza..........kwani ni lazima ufanye majumuishao? Sometimes naona kama unatutukana wanawake wote kwa kesi ya mtu mmoja tu??......................ah

  Kujibu Thread yako:
  Sijakuelewa aliteanikwa ni nani kati ya hao wapenzi?
   
 5. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #5
  Aug 6, 2011
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,016
  Trophy Points: 280
  BABU YANGU ALIWAHI KUNIAMBIA KOSA KUBWA MAISHANI NI KUMWAMINI MWANAMKE. Ni kosa kubwa' siku zote ishi na mwanamke kwa tahadhari kubwa
   
 6. M

  Marytina JF-Expert Member

  #6
  Aug 6, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  hujambo mrembo?
   
 7. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #7
  Aug 6, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Hilo ndo tatizo la kutokua mwanaume kamili... kuweza jisimamia na kutoa maamuzi ya msingi na kujenga maisha yako... yule dada namfahamu kwa ukaribu (via observation) She is a great woman ki Proffessional na utendaji wa kazi, she is really great! Hard worker ile mbaya... pamoja na kusema age does not matter (IMO it matters) bado naona haamini kua imefika wakati wa yee kutulia na kuishi umri wake... she is almost a chain smoker, bado anatupia weed once in a while and stuff... yaani anaishi maisha ambayo vijana wa kisasa/kibongo (i.e Jaffarai) wana husudu hivo kuachana kwao inamuathiri Jaffarai zaidi kuliko hata Shyrosse - na amini usiamini Kiiza, as much as ndio Mdada ana pesa na yaweza onekana ka vile Jaffarai anampendea pesa - Mi hio sikubali... Labda mwanzoni ilikua hivo but in time those two fell in love.... na hio ndo itawafanya the rise and fall of their relationship.... on and on and on....
   
 8. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #8
  Aug 6, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  mbona hayo ni mambo ya kawaida sana.....btw......nipo calabash....upo leo?
   
 9. arabianfalcon

  arabianfalcon JF-Expert Member

  #9
  Aug 6, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 2,292
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mazowea yana tabu tabia zikilingana,sasa kakakiiza hao watu wache kama walivyo wewe lako liwe jitho tuuu.
   
 10. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #10
  Aug 6, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sijambo mrembo mwenzangu...vipi wewe?!
   
 11. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #11
  Aug 6, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Mbona kawaida tu, wapo pia wanaume walioapa kuwarudia wanawake zao, na badae wakawarudia na vichwa chini
   
 12. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #12
  Aug 6, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  ...kama mbwa aliyenyeshewa!!
   
 13. M

  Marytina JF-Expert Member

  #13
  Aug 6, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  mie mzima
  sipendi post usiku manake nikifumaniwa na hii ID itakuwa ugomvi mkubwa
   
 14. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #14
  Aug 6, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Haya nenda kamkumbatie mwenzio basi...
   
 15. M

  Michelle Hilton Senior Member

  #15
  Aug 6, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 141
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ni mapenz tu
   
 16. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #16
  Aug 6, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  all is fair in love and war
   
 17. Jux

  Jux Senior Member

  #17
  Aug 6, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 114
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tupa kule...
   
 18. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #18
  Aug 6, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  lizy kesho nitafute tukale mdudu, umenifurahisha sana!! Maana huu ni over umbea kufuatilia mambo ya watu!
   
 19. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #19
  Aug 6, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hii thread ingesomeka wanaume akili zao zinafanya kazi kinyume kwakuwa Shyrose hajafungua kinywa chake muda wote Jafarai alipokuwa analia kunyang'anywa tonge mdomoni na kutoa kashfa lukuki,na sasa karudi nyumbani kwa MWANAMKE na kula matapishi yake.
   
 20. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #20
  Aug 6, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mida ya saa sita sita hivi basi dearest....usisahau na kasoda ka baridi ntahitaji!!
   
Loading...