Mapenzi ya Sekondari – Sweeter Than Sweeter! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapenzi ya Sekondari – Sweeter Than Sweeter!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Ngwanakilala, Aug 7, 2011.

 1. Ngwanakilala

  Ngwanakilala JF-Expert Member

  #1
  Aug 7, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 396
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 60  Aisee mapenzi ya sekondari yalikua sweet sana. Wakati huo mtu ulikuwa unapendwa just for being yourself. BF/GF alikuwa haihitaji chochote kutoka kwako other than your love and companionship. Mapenzi yalikuwa na upendo ulio sweet and innocent. Wasichana wa sekondari walikuwa so sweet. Hamna maperfum wala nini wananukia maziwa ya mama zao- no make-ups no wigs. Kila mtu hajui mapenzi kiivyo wote tunajifunza. Unyumba haukuwa muhimu kiivyo cha muhimu zaidi kilikuwa company na friendship. Nilikuwa napendwa na visichana vizuri, innocent, sweeter than sweeter - bichwa lilikuwa kuubwa. Tunaandikiana barua na kutumia vikadi. Life was like a movie. I will never forget those good old days.  Sasa mapenzi ya utu uzima ni vurugu tupu na kubanana na mapaka shume na mashankupe. Duuh!
   
 2. c

  chuji Member

  #2
  Aug 7, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umeshasema mapenzi ya sekondari.pengine ulikua huja...he.so hukua unajua utamu wa penzi.
   
 3. Ngwanakilala

  Ngwanakilala JF-Expert Member

  #3
  Aug 7, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 396
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 60
  Mkuu Chuji unfortunately mimi nilikuwa nimeshaanza vurugu za unyumba. I was fully aware of love. Ila nilipenda ile innocence!
   
 4. c

  chuji Member

  #4
  Aug 7, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimekusoma ngwana hata mi nakubali ila nilipenda tu nijue ulikua katika hali gani.kwa sasa there z no tru lv wa2 wako kipesa zaidi
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Aug 7, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  waliosoma shule za wavulana watupu au wasichana watupu je?????
   
 6. Ngwanakilala

  Ngwanakilala JF-Expert Member

  #6
  Aug 7, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 396
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 60
  Hao walikuwa wanaandaliwa madisco na oposite sex na sheria ilikuwa wasichana hawaruhusiwi kuvaa chupi kwenye huo mtoko.
   
 7. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #7
  Aug 7, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  wasichana watupu yalikuwa yanaandaliwa madisco na opposite sex,ila hio ya kusema sheria inawekwa wasivae chupi mkuu umezidisha chumvi kidogo kama sio magadi,nani sasa anayekagua kuwa wameenda uchi???hii hata mtoto wa miaka mitano humdanganyi...............
   
 8. c

  chuji Member

  #8
  Aug 8, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimekusoma ngwana hata mi nakubali ila nilipenda tu nijue ulikua katika hali gani.kwa sasa there z no tru lv wa2 wako kipesa zaidi
   
 9. Ngwanakilala

  Ngwanakilala JF-Expert Member

  #9
  Aug 8, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 396
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 60
  Jestina hiyo sheria haikuwekwa na mtu ilikuwa ni kama silent agreement na si kila mtu alikuwa anaifuata. LOL!
   
 10. chavka

  chavka JF-Expert Member

  #10
  Aug 8, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kweli 2lio soma jinsia moja ndivyo ilivyo kuwa japo vitoto vya xlu za kitaa vili koma maana walikuwa wana2kubali kinoma.
   
 11. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #11
  Aug 8, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  This is kinyume cha sheria!!Student u better stay away from this insanity!
   
 12. M

  Maega Senior Member

  #12
  Aug 8, 2011
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 152
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kweli, in those old good days
   
 13. JS

  JS JF-Expert Member

  #13
  Aug 8, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 2,065
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hayo yalikuwa enzi za mwalimu na sasa je mapenzi hayo ya sekondari bado yapo au na wao wako kipesa zaidi?
   
 14. k

  kisukari JF-Expert Member

  #14
  Aug 8, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,763
  Likes Received: 1,052
  Trophy Points: 280
  siku hizi mwanafunzi wa primary ana mobile,kabla hajaingia sec.keshakuwa na boyfriend zaidi ya mmoja
   
 15. data

  data JF-Expert Member

  #15
  Aug 8, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,793
  Likes Received: 6,573
  Trophy Points: 280
  tena tulokua boyz tupu ndo ilikua raha zaid.. esp pale unapopata barua toka kwa kifaaa chako .. imagine unapata barua toka skul kama msalato... au kilakala.. daaahh ilikua raahaaa..
   
 16. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #16
  Aug 8, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 543
  Trophy Points: 280
  Nyie si ndo mlileta msemo hapendwi mtu ila......
   
 17. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #17
  Aug 8, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,259
  Trophy Points: 280
  kha! na ww kwa kupenda waschana magenius,lol

   
 18. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #18
  Aug 8, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Dah,umenikumbusha enzi zile za kuandikiana barua,....
  nikiwa pale Nsumba boys secondary,....unaandika barua kwenda Nganza girls secondary,...
  wala ulikua hauhitaji posta,unapanda mlima tu (kitintale) then unakutana na wadada wabishi,....
  mna kabidhiana vitu,then hadi kesho tena dah,we acha tu ule mlima pale mwanza umeona mambo mengi
  sana,sijui kama yapo bado
   
 19. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #19
  Aug 8, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  ukubwa jalala tena, unakumbuka ya zamani
   
 20. m

  muhanga JF-Expert Member

  #20
  Aug 8, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 873
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  mmmh pole sana ndugu, mambo yamebadilika sana nowdays, hebu jaribu kutafuta wale wasichana wa zamani kidogo wanaweza kuwa bado na zile tabia ulizozitaja.... ! zamani ilikuwa raha sana mnaenda kucheza disko na wavulana wa shule jirani ukumbi wa chakula cku hiyo viti vyote nje! waschana mnakaa wavulana wanakuja kupiga 'arrow'! wanainama na mkono mmoja kifuaani eti wanakuomba kucheza, unaumauma vidole ndio unainuka... akikupenda ni barua za kumwaga... ck hizi ukianza tu kujieleza unakatishwa acha longolongo wewe sema shida yako na una sh ngapi, tena ukiwa na gari aaaah mbona una mshenga ukilipaki tu wanajazana kama nzi na kinyesi wala hutumii nguvu nyingi kuwazoa..
   
Loading...