Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
kuolewa .......
Hamna lolote. Unaowa tu na imetoka.
Hamna kujiandaa chochote. Akishindwa maisha ya SIKONGE, si ataachia ngazi?
Juzi juzi hapo Dar nimekutana na Wazungu wawili (si vizuri lakini kuwaita Wazungu jamani) na wao wanaishi Dar es Salaam. Jamaa watoto wa Kihuni hasa na wanamwaga Kiswahili kama hawana akili nzuri. Wanaishi Kinondoni na Mwanaume ni Mfaransa, Mwanamke ni Mgerumani. Wanaita Dar ndiyo NYUMBANI.
Tuache Complex ya kuwaona hawa watu weupe kama watu wa ajabu sana. Ni watu tu kama sisi na anaweza kula hata NSANSA za Kinyamwezi na kuzipenda. Utamuona hata kashika Mchi anatwanga Mpunga....... na jioni ndoo ya maji kichwani na mgongoni mtoto
Mkipendana, wee oa tu ila mwambie kabisa kuwa kwenu ni MASIKINI saaana. Akikubali na akifika huko akute kuna nafuu, basi atakupenda zaidi. Ila kujifanya kwenu weee ni Bab kubwa hata Ridhiwan anakuonea wivu kwa hela ulizonazo, basi akija kufika akute ulimdanganya, itakula kwako.
Bro usisahaua huku kijijini mkeo ulomwacha bado tunamtunza ee!
Kijiji gani tena huko? Mie nimezaliwa Sikonge na naishi Sikonge.
FL, nilikuwa sifahamu kuwa na wewe ni wa SIKONGE. Nashukuru kufahamu. Wavezya sana ilumbu lyane
wanaume ninaowafahamu mimi wanaooa wanawake wa kizungu,huwa wanaendeshwa.mara mtoi boby nje asubuhi{mbwa}akakojoe,siyo hayo tu,ila w.ke huwa wana usumbufu fulani,tofauti na wanaume wa kizungu.na w.me wengi wakishapata paper tu,huwaacha.business is done.ila asilimia chache mahusiano hudumu
Kuna wengine wameoa wazungu ila huwa wanatamani kuwa na back up za nyumbani ni nyumbani Y
<br />me naona kama ni mateso tu,wale watu dah<br />
hata apite naked wala sistuki,....ila ipite ngozi nyeusi imeacha kimgongo tu doh,.....<br />
<br />
Kuoa mdhungu ni shida,usizani anaeoa kampenda kweli.
wanaume ninaowafahamu mimi wanaooa wanawake wa kizungu,huwa wanaendeshwa.mara mtoi boby nje asubuhi{mbwa}akakojoe,siyo hayo tu,ila w.ke huwa wana usumbufu fulani,tofauti na wanaume wa kizungu.na w.me wengi wakishapata paper tu,huwaacha.business is done.ila asilimia chache mahusiano hudumu
Na wengine unakuta anamtumia tu mdhungu wa watu huku pembeni anaendelea kula mzigo na wabantu; tena nina mifano mingi ya kike na ya kiume when it comes to cheating wanaenda kwa wabantu meaning there is something they are missing
Inategemea na mzungu mwenyewe....