Natamani tu-share na wewe mwanajamvi,
Una-deal aje na mtu mwenye "bad moods"?
Tupeane xperience!
As tunavyojua kuwa mtu akiwa kwenye "bad mood"
Ni anaweza kukukwaza, ni anaboa wakati mwingine...
hey ladies...
there is something that i fail to comprehend. most ladies claim to know that most guys just want sex but yet wen a guy is upfront abt wanting to have sex with u, you take offense to...
Licha ya kwamba watanzania wana matatizo mengi hasa ya kiuchumi na kisiasa bado tatizo la mapenzi, mahusiano na urafiki ni changamoto yao ya kila siku. Utashangaa nikikwambia kuwa MMU (Mapenzi...
..Habari ndio hiyo, Wanawake sasa wataweza kukojoa wakiwa wamesimama kama Wanaume baada ya Ugunduzi wa kifaa hiki.
Duh hizi haki sawa sasa zinapitilizasource: JD Blog
Wapendwa MMU,
Salaam kwenu wote in the name of love.
Wadau, kuna kijana mwenzetu mmoja amekumbwa na mkasa mzito saana. Miaka kama 2 imepita, akiwa kwenye daladala aliachiwa mtoto na mwanamke...
Mine are:
1. My daughter - she's my #1 fan, my pride and joy, my flesh and blood, my everything.
2. My parents - what can I say...If it wasn't for them I wouldn't be who I am today
3. Water -...
Me ni kijana wa miaka 27, naishi mikocheni A, Nipo Bachelor mwaka wa pili ..<br />
Nahitaji rafiki wa kike awe muelewa umri kuanzia miaka 20 na kuendelea, awe mchangamfu, ..<br />
Aliyetayari...
Asallam aleikum wanajf. Jamani kuna shemeji yng alimpa msichana mimba na kumkatisha masomo na kuamua kuish naye tn bila kuwajulisha wazazi na ndugu zk. Wazaz wa mume walipogundgua wakamshaur...
Hello JF!
Nilikuwa mtu wa kubadili wanawake kama nguo, sikuwahi kuwa na upendo wa dhati ktk maisha yangu kwa wanawake, but tangu nimeanza kutumia hili jukwaa la mapenzi nimejifunza mengi na...
Wapendwa WanaJF.
Natumaini wote mu wazima........naombeni msaada wa namna ya kushauri.
Ni rafiki yetu kifamilia, kwa muda mrefu yeye na mumewe wamekuwa kwenye migogoro ya hapa na pale ya kindoa...
Mimi ni msichana mrembo, msomi, aged 26, kuna kaka mmoja (30) ana mke wake na watoto wawili,he is handsome, has a cute wife ,familia yake ina furaha,
Mada> huyo people kanizimia kitambo na for...
Habari za zenu wakuu nimamkini mpopoa. Wahenga walisema sikio halina mpaka. cku ya leo nimepata kusikia malumbano ya wawili ambao nawafahamu kiasi ila walikuwa wanalumbana kuhusu mambo ya kudu...
Source: Power FM Radio
Katika kipindi cha PATAPATA leo hii asubuhi, kipindi ambacho kinarudiwa jioni kila siku saa 1.15 nimesikia simulizi ya binti mmoja mwenye umri wa miaka 16 aliyefumaniwa...
Nilipoanza kazi nilionywa na wenyeji wangu juu ya huyu mama mfagizi wa hapa ofisini. Yeye ni mke wa mtu, na ni mama mtu mzima. Sijui kutokana na ugumu wa maisha au tabia tu, alikuwa na mchezo wa...
Nii wakati mwingine wengine wanaweza kujiuliza delila ni nani
kwa wale wanaoua neno la mungu wanamjua delila alikuwa
mke wa samson...alimpenda saana sana lakini kulitokea wafilisti wakimtafuta...
Moto Umezima
SWALIMimi na mume wangu tumekuwa kwenye ndoa sasa ni mwaka wa 11, maisha yetu ni mazuri sana kila eneo la ndoa yetu isipokuwa suala la sex. Najiona kukumbuka sana namna moto wa...
Hapa ndio mahali unaweza pata msaada wakati wowote, sinamtu mwingine naweza wasiliananae kwa sasa. Naomba maombiyenu ili tufike salama. Hali ya hewa sionzuri ninakokwenda, tumekaa hewani more than...