Umjuaje "delila" wa maisha yako!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,149
Nii wakati mwingine wengine wanaweza kujiuliza delila ni nani
kwa wale wanaoua neno la mungu wanamjua delila alikuwa
mke wa samson...alimpenda saana sana lakini kulitokea wafilisti wakimtafuta samsoni wamuue
wakapata njia rahisi ni kumtumia delila..pamoja na mapenzi yao moto moto samson alijaribiwa mara
tatu ya nne ndipo akasema wapi nguvu zake zilipo..ndipo wafilisiti wakamkamata wakamnyoa nywele
na hapo ndipo nguvu za samsoni zikaisha juu yake...kumbuka happo nyuma ndugu zake wazazi walimkana
samsoni kuhusu delila lakini kwa kuwa alikuwa anamridhisha na labda anamfurahisha kwa semi za leo
akaamua kukomaa na kumchukua delila...matokeo yake ndio hayo akamsaliti wakamtoboa macho wakamdhihaki
aliambiwa sana aachane na delila lakini akuwa msikilizaji

pamoja na hayo utaona kabla awajamkamata walikuwa wanahamu ya kumuua lakini walipomkamata wakaishia
kumtoboa macho na kumdhihakoi...samson akaa kaa chini akajua ameachia lango sehemu ndio maana shetani ametumia
mlango huo kumpiga...hata hivyo akaomba""toba ""kwa mungu mungu akamsamehe akamrudishia nguvu..alipopata nguvu
akaomba mlinzi mmoja awapeleke sehemu wafalme wakifilisti walikuwa natafrija ikiwemo kummaliza samson..
Akaomba amweke kwenye zile nguzo mbili zinazoshikilia ukumbi awahi kuondoka..baad ya muda akamwambia mungu kama
uhishivyo nakuomba unisamehe dhambi zangu zote lakinikwa nguvu ulizonipa naomba watu hawa niondoke nao alipozicheekecha nguzo akuna ufalmewa wafilisti uliosalia mpaka leo ........

Ndugu yangu zamu yako kufikiria wewe uliekwenye ndoa unaelalama wakati ulishaambiwa huyo ni lango leo unamsaliti mungu kumwita akuoni wakati alikuonyesha??je wewe unaeelekea kwenye ndoa na kuona mwenzio wako anaenda kinyume
na mapenzi ya kweli lakini una target zako labda ana kazi nzuri ama nyumba nzuri unaamua kuishia kungangana na mwisho ndan ya ndoa unajuta nakusaga meno...je unafikiri utamtambuaje delila wako wa leo???

Wapo wanaopata bahati ya kuambiwa huo mwiba usiguse wakaamua kungangana nao na leo wanajuta maisha
je wewe unaeelekea huko na ujaambiwa utajuaje huyu ni delila??ama lah...ngangana na maombi akuna kinachoshindikana yawezekana umekutana na delila kwenye ndoa yako mungu ni mwaminifu alimsamehe samson na kumrudishia nguvu zake
sembuse kumbadilisha huyo ulie nae ..???simama na zamu yakomwombe mungu akuoneshe macho ya rohoni
 
Kaka nakukubalia kabisa ıtabıdı kaka nıkupm hata sıku moja uandıke mada moja kwenye blog yangu
ambayo nı
GSHAYO
 
mkuu nimekupata kweli Delila tunao ni aibu na majuto lakini hata tuanvumilia lakini mwisho naona nikusepa kimtindo maana wanawake hwaeleweki ni vichaa na wehu kabisa siku hizi pengine ni bora ya enzi hizo kuliko siku hizi
 
Back
Top Bottom