Ni zaid ya mateso | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni zaid ya mateso

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Vaislay, Aug 22, 2011.

 1. Vaislay

  Vaislay JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 4,512
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Nipo katka mahusiano ya kwel,kwan katka miaka3 sijawah kumsalit nimpendae,cha kushangaza wivu umepitiliza,nisimtumie rafiki au mfanyakaz mwenzang mesej nikimwambia mic u.ugomv,akiniona napga stor sn na jnsia tofaut ugomv.najitah kumwelewesha kwmba nampenda na sitamsalit,haelew.nifanyeje zaid ya hapo?
   
 2. Jeruh

  Jeruh Member

  #2
  Aug 22, 2011
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 78
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  depending na m2 mwenyewe na hulka zake lakini moja jaribu kuwa karibu naye na angalia nyendo zake yawezekana anahisi nawe wamsaliti kwakuwa yeye anafanya hivyo. Pili yawezekana ndo mapenz yamemzidia anahc kuibiwa 2 so wivu nao unaongezeka so jitahd kumsoma kwanza
   
 3. T

  Tall JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2011
  Joined: Feb 27, 2010
  Messages: 1,431
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  1.Ukimwona polisi halafu ukatimua mbio ni lazima atakufukuza akukamate.Umejenga hali ya kutoaminika,matokeo yake ni hayo.
  2.Hueleweki ndio maana anakufuatilia wewe unasema ana wivu.
  3.Hata hivyo wivu ni sehemu ya mapenzi............Mapenzi gani bila wivu????
   
 4. A

  Aine JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nawe jitahidi kupunguza hizo msg za kuwatumia marafiki zako za mic you ilihali umeshajua mwenzi wako mtarajiwa hapendi, si uepuke tu shari? wivu ni sehemu ya mapenzi ila ukipitiliza ni kero sana, sasa jaribu kukaa naye mkiwa mmetulia umueleze asiwe na wivu wa kupitiliza kwani mtagombana bure, cha msingi muaminiane.

  Ila tahadharri tu, mara nyingi mtu akijifanya kuwa na wivu saana hasa kama tangu mwanzo hakuwa hivyo, basi check out ni nini, huenda anayoyafanya yeye anahisi na wewe unafanya, so kama kujikosha fulani hivi
   
Loading...