Mume kamteleleza mkewe baada kupata nyumba ndogo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mume kamteleleza mkewe baada kupata nyumba ndogo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Angel Msoffe, Aug 21, 2011.

 1. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #1
  Aug 21, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Asallam aleikum wanajf. Jamani kuna shemeji yng alimpa msichana mimba na kumkatisha masomo na kuamua kuish naye tn bila kuwajulisha wazazi na ndugu zk. Wazaz wa mume walipogundgua wakamshaur kijana wao akajitambulishe na kulipa mahari kwa mke na wafunge ndoa. Mume akakataa kulipa mahar na kufunga ndoa akajitambulisha tu tn alienda yy na mke tu. Mimba ilipofika miez 6 mume akawa akiondoka kwenda kazini haagi wl haachi hela ya chakula mke akawa anaish kwa huruma ya majirani. Muda wa kujifungua ukafika mke akajifungua mtoto wa kike. mtoto alipofikisha mwaka 1 mume akaanza kulala nje hata wiki nzima mke kuchunguza akagundua mumewe anamwanke amempangishia chumba alipomuuliza mumewe akamwambia ni kweli na mwanamke huyo ni mjamzito, mke akamwomba wafunge ndoa sbb tayari alishakatisha masomo kwa ajil yake na amezaa naye, mumewe akasema yy ndo atakayeamua afunge ndoa na yupi.hy Mwanamke mwngn kajifungua mume kahamia hk hn habar na mke wa1 wala mtoto anafanya ku2ma m2 apeleke hela. MKE HY ALIYETELEKWEZWA AFANYAJE?
   
 2. k

  kisukari JF-Expert Member

  #2
  Aug 21, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,756
  Likes Received: 1,042
  Trophy Points: 280
  inasikitisha,ila inavyoonyesha tangu mwanzo huyo jamaa hakumpenda huyo msichana.mimba ilikuwa kama sababu.na huyo dada asimlazimishe kutaka kuolewa na huyo kaka,kwani ndoa itakuwa chungu kwake.inachotakiwa afanye aikubali hali halisi arudi kwao,kama kujiendeleza kimasomo ajiendeleze,na aangalie maisha yake
   
 3. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #3
  Aug 21, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Baada ya kuona dada hy anateseka saana nilishawishka kumshauri arudi nymbni lkn akanieleza kw yy alizaliwa nje ya ndoa na alilelewa na mama yk na mama yk alifariki yy akiwa na miaka 10, tangu mama yk afariki alikua analelewa na rafiki wa mama yk na hamjui baba yk. baada ya kupata ujauzito na kuacha shule na kuolewa mama mlezi akamwambia kamwe asirushe tena mguu nyumbani kwake. KIBAYA ZAID MWANAE ANAUVIMBE WA KIZAZI NA ANAHTAJIKA OPERATION NA MUME KAKATAA KUMPA HELA.
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Aug 21, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Ana wakati mgumu sana, hapo inabidi awaone wanasheria waweze kumsaidia....
   
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  Aug 21, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  pole yake. ila maisha ya kutegemea watu ni magumu sana. mpe walau mtaji ajitegemee,manake alijijua situation yake na akaendekeza ngono. kanyea kabi huko kwao rafikiye, sasa mwanaume anamtenda! yeye sio yatima tena, manake ni mtu mzima na ana mtoto anamtegemea. msaidie aweze kujitegemea, aachane na fadhila za mwanaume, wakati huo aonane na ustawi wa jamii kuhusu matunzo ya mtoto. kumganda huyo baba afunge nae ndoa ni kutafuta tatizo la maisha!
   
 6. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #6
  Aug 21, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Aende ustawi wa jamii,ili tu apate matunzo ya mtoto,.... na wasichana wengine wajifunze, unajua kabisa unasoma kwa msaada baada ya kukazania masomo, anaanza mambo mengine, sasa hapo atasaidiwa na nani tena kusoma ili angalau apate kazi?? mwache kwanza ajifunze ili akili ikae sawa
   
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  Aug 21, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  aruei kwao. Ajipange upya kimaisha, akimtanguliza MUNGU atafanyikiwa tu. Kung'ang'ania m2 asiyekupenda hakuna faida, atapata msongo wa mawazo tu,asonge mbele na maisha. Kuvunjika kwa mpini sio mwisho wa uhunzi
   
 8. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #8
  Aug 21, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ni kweli dada alikosea lakn pia wakaka wa lugha zao ambazo muda utafika mtu ana lainika,ila wanaume kama hawa kama hawa hata simalizii maana
   
 9. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #9
  Aug 21, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  <br /> <br / kwakwel mtoto ndo ananiumiza sn roho nikaamua kumchukua mwanae nikafungulia biashara (mgahawa)nikamweka aendeshe chai na lunch ni ya ofisi na mshahara ni elf 80 per month na kila ck namrudisha na usafir wng. Nikamshaur ajibane akusanye hela aende veta akasome cha ajabu nikimlipa zikiisha wik 2 ananiomba naul ya kuendea kazini nikimuuliza mshahara umeenda wapi anadai umeisha kuchunguza nikagundua kumbe mara kwa mara mumewe anaenda kwake na hampi hela hivyo yy anatoa hela yk kumnunulia chakula hela zikiisha mume anaondoka.
   
 10. bryleen

  bryleen Member

  #10
  Aug 21, 2011
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hee nilianza kumuonea huruma ila nimemuona ni **** tena yani after yote anayofanyiwa na mumewe bdo anadiriki kutoa hcho kidogo anachopata kumlisha huyo mwanaume kweli?huyu mdada ni wa kuachana nae kama unaweza shughulika na huyo mtoto akatolewe huo uvimbe na huyo mama wa mtoto nadhani ni kumwacha dunia imfunze naona anajifanya kumpenda sana huyo alokuwa mumewe wakati tangu mwanzo inaonyesha alipenda asipopendwa!
   
 11. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #11
  Aug 21, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sasa kumbe matatizo yenyewe ya kujitakia?!Ana pesa gani hata ajipendekeze kumlea mwanaume asiye na muda nae?!Kweli wanawake wengine hovyo sana.
  Mkalishe chini umpe somo...aachane na habari ya kujipendekeza kwa huyo mwanaume kwasababu ameshajua fika haibadili chochote kati ya na umwambie kabisa kwamba PESA YA KUHONGA HANA.Mwambie kaxi umemtafutia hivyo aifanye na atakachopata ndicho kitakachomweka mjini...kwambahabari sijui ya kumpa nauli hutompa tena kwahiyo aanze kutumia akili kufikiri.Na kama akisema anashindwa kujizuia basi msaidie kufungua hata ka acc ambako utamsaidia kumonitor au umwekee wewe hizo pesa na kumpa kila wiki ili asiwe anarudia kosa kila mwezi na kuja kulia kwako kila baada ya wiki mbili.

  Alafu sasa anakuaje mke wakati hajawaoana?!Jamaa nae kama hata matumizi anatuma mtu/hatoi anapata wapi ujasiri wa kuja kukaa mpaka vijisenti vya huyo dada viishe?!Nauliza tu maan siwezi kuimagine mtu haniletei matumizi/hasaidii alafu eti kila mwisho wa mwezi anakuja namlisha pesa zikiisha anaondoka na bado anakua na ujasiri wa kufanya hivyo tena mwezi unaofuata na mimi bado nampokea!!NASHANGAA!!
   
 12. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #12
  Aug 21, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hy dada aliish na kijana hy kwa zaid ya mwaka m1 na miez kadhaa kbl hajaamia kwa mwanamke mwngne, "ndo mana nikawaita mke na mume mana wameshaish pamoja" ni miez 3 tng kijana amtelekeze mke na mke alipopata kazi taarifa nilizopata kw mdada hy anaazima cm anaweka vocha anapgia mumewe na kumwambia cjui kammiss aje, kijana naye anakuja anakula hela zikiisha akiambiwa atoe hela anampa kidogo na akiondoka harudi, YN NIMESHAJITAHD SN KUMWELEWESHA MPAKA NIKAWAOMBA WATU WAMSHAURI LKN WAPI HAELEWI, MI CJUI NIMFANYAJE AISEE HLF NASKIASKIA KW ANASEMA ATATOROKA ANIACHIE MTOTO.
   
Loading...