chavka
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 223
- 46
Habari za zenu wakuu nimamkini mpopoa. Wahenga walisema sikio halina mpaka. cku ya leo nimepata kusikia malumbano ya wawili ambao nawafahamu kiasi ila walikuwa wanalumbana kuhusu mambo ya kudu jamaa analalamika kuwa anapo ombwa anapanga mpangilio wa kazi mara ngojea nikapike kwanza mara nikaoshe vyombo mara...... ila akitaka yeye akubali mpaka jamaa achakachue tena muda huohuo. nikajiuliza niwanawake wote wako hivyo au mwanadada anachakachua mshkaji?