Umewahi Sikia Hii??

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,983
12,702
Nilipoanza kazi nilionywa na wenyeji wangu juu ya huyu mama mfagizi wa hapa ofisini. Yeye ni mke wa mtu, na ni mama mtu mzima. Sijui kutokana na ugumu wa maisha au tabia tu, alikuwa na mchezo wa kutoka kimitegomitego. Kafumaniwa na mabosi wake zaidi ya watano, mwisho wa fumanizi mgoni analipa tu faini ya shilingi laki tano. Watu kuja kushtuka kuwa ulikuwa ni mchezo uliokuwa unachezwa na huyu mama kwa kushirikiana na mume wake, wakware wengi walishachomolewa pesa sana tu. Thanks God alihama mji na kazi aliacha....
 
huyo mume naye???.....kwa nini asimpeleke mkewe kny danguro tu?? kuna ndoa hapo?
 
Nawe ulikuwa unajiandaa kupakua mzigo? mara ukastukia hayupo.
Duh! pole yao na mumewe.
 
huyo mume naye???.....kwa nini asimpeleke mkewe kny danguro tu?? kuna ndoa hapo?
Kwenye danguro mkewe angemegwa, huo mpango wao walikuwa wanawahi kabla mkewe hajamegwa. Mbaya zaidi na waliofumaniwa ni waume wa watu!!
 
maeneo ya stesheni,city centre kuna police wa central huwa wanatega kibinti kidogo
hivi lakini kimevaa kichangu doa hivi.....ukikitokea hivi
ukaenda nako gesti hivi,polisi wanakuja kukumata,kesi ya kubaka mwanafunzi....
usiwape pesa kwa nini?????lol
 
maeneo ya stesheni,city centre kuna police wa central huwa wanatega kibinti kidogo<br />
hivi lakini kimevaa kichangu doa hivi.....ukikitokea hivi<br />
ukaenda nako gesti hivi,polisi wanakuja kukumata,kesi ya kubaka mwanafunzi....<br />
usiwape pesa kwa nini?????lol
Hii nayo ni hatari aisee...
 
Back
Top Bottom