Natafuta rafiki wa kike.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta rafiki wa kike..

Discussion in 'Love Connect' started by mpenda pombe, Aug 21, 2011.

 1. mpenda pombe

  mpenda pombe JF-Expert Member

  #1
  Aug 21, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,188
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Me ni kijana wa miaka 27, naishi mikocheni A, Nipo Bachelor mwaka wa pili ..<br />
  Nahitaji rafiki wa kike awe muelewa umri kuanzia miaka 20 na kuendelea, awe mchangamfu, ..<br />
  Aliyetayari ani PM..
   
 2. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2011
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Unaonaje ukijaribu Baa iliyo karibu hapo ili upate wapenda pombe wenzako ambao mtaelewana vizuri zaidi ?
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  yaani kila anaekuja humu anatafuta wa KUBADILISHANA NAE MAWAZO.....

  hivi nani aliesema humu kuna watu wenye mawazo ya kubadilishwa????????
   
Loading...