Natumani mu wazima wana jf. Naomba mnisaidie wanajf wenzangu kwa hili. mchumba wangu ameamua kunikimbia kisa sina hela. nimechanganyikiwa nisaidieni sijui la kufanya.
Hii nimeishuhudia kwa baadhi ya wapenzi hapa mjini tabia ya wapenzi kutaka kujua namba za siri za akaunti za wapenzi wao Naamaanisha ATM Cards, Email address na nyinginezo.
Je hii ni FAIR..?
wakati nikiwa nabrowse kutafuta movies za kudownload...nikadownload series inaitwa PICKUP ARTIST...jamaa anafundisha watu jins ya kuwa na confidence,jins ya kuanzisha mazungumzo unapokutana na...
Salaam wana Jf.
Nimejifunza kuwa msingi wa mapenzi ni imani. Kwakuwa hayasikiki, hashikiki bali unahisi. Pia vitendo havina uthibitisho wa asilimia mia kuwa ni mapenzi ya kweli. Sasa basi naona...
Hebu tuchukulie kwamba umeachana na mpenzi wako. Pamoja na kwamba huyu mpenzi ana ukorofi wake, lakini kilichoharakisha hadi ukaamua kuachana naye ni mpenzi mwingine mpya ambaye unaamini kwamba ni...
Nimetafakari Sana Kama ni uwezo wa Mwanaume kumhadaa mwanamke hadi akamkubali au mwanamke tu ndio akikubali ndio mambo yanaenda fresh, Kwa jinsi Matukio ya Maisha yaendavyo nimeona Mengi...
Kuna wakati mwanaume anakuwa na kazi nyingi sana, au anatumia muda wake mwingi kwenye kujisomea, hata pale mwanamke anapoonyesha kwamba anahitaji kuwa naye kwa muda fulani.
Kuna wakati pia...
Bismi Allāhi Ar-Raĥmāni Ar-Raĥīmi
(¯`·._.In Loving Memory To My father._.·´¯)
Date of birth 16th June 1944
Day of death 31 August 2010
I stepped...
Hebu tuchukulie kwamba umekwenda kusoma nje ya nchi, au umekwenda mbali sana na nyumbani kwako kikazi. Umekaa huko kwa miaka miwili . unaporudi, unakuta mkeo ni mjamzito! Hebu niambie ungefanya...
Habari JF!
nimemuona hana niya ya dhati kwenye matarajio yetu.
Ninapoamua siongei nae kwa siku kadhaa...huanza kunibembeleza...najirudi.
Haishi kunieleza shida zake namsaidia kadr ya uwezo...
kwa asilimia kubwa kwa walioko kwenye ndoa utamani na/au kukumbuka baadhi ya vipengele vya maisha walivyokuwa wakiishi wakati wakiwa bachelor, je ukipewa likizo ya mwezi mmoja kuwa off marriage ni...
Nimebaki dilema kwa huyu dada,amekuwa just a friend since nilipom-approach 2009. Aliniambia yuko single na hayuko tayari kwa mahusiano wakati huo. Kipind chote ninachoendelea kusubiri anasema yuko...
Utakuta mpenz wako anakuambia "nakupenda kutoka moyon" au "moyo unaniuma sana"
je moyo una hisia, si kwamba kila kitu kinafanyika kwenye ubongo?.
Tubadilike tuseme "kutoka kwenye ubongo"...
Ni asubuhi ya Ijumaa Tar. 2/09/2011. Rafiki yangu kaniita Tabata
Anasema ana mazungumzo na mimi. Ninapofika nyumbani kwake
Simkuti, namkuta mkewe naye anajiandaa kuondoka, anamsindikiza...
Wandugu nilikuwa safari,nimerudi nyumbani kwangu usiku wa manane nimemkuta mama mkwe kalala na mke wangu chumbani kwangu,na nina nyumba kubwa tuu ya vyumba 4.niwaeleweje hawa watu na nifanyeje...
Kwa kifupi sana ni hivi. Mwaka 1975 nikiwa mwalimu kijana bado, nilifanya jambo ambalo kwa wakati ule wala halikunisumbua ingawa lilikuwa baya sana. Bila shaka, wale wanaokumbuka mfumo wa elimu wa...
Kukosekana kwa malezi ya dhati ya mama kumeonekana kuwa na athari kubwa juu ya kukua kwa mfumo wa neva wa mtoto na hupelekea kuathiri
saikolojia ya mtoto.
Hii ina maana kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.