Thanx: JF imebadili maisha yangu

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Hello JF!

Nilikuwa mtu wa kubadili wanawake kama nguo, sikuwahi kuwa na upendo wa dhati ktk maisha yangu kwa wanawake, but tangu nimeanza kutumia hili jukwaa la mapenzi nimejifunza mengi na nimebadili mwelekeo wa maisha yangu ya kimapenzi kwa kiasi kikubwa!

GOD bless u!!
 
Mwanakondoo mmoja anaporudi zizini!
Ni furaha iliyoje..... Karibu nyumbani... usiangalie nyuma.
Upo nasi.... Tunakupenda sana son!
 
sikuwah kuwa na upendo wa dhati ktk maisha yangu kwa wanawake, but tangu nimeanza kutumia hili jukwaa la mapenzi nimejifunza mengi
kwahiyo bado unao weengi ila ulichojitahidi tu ni kua na upendo wa dhati kwao si ndiyo ama?
 
Mpita Njia member amepotea tena wakati amerudi kundini. We huoni kama ndo amerudi kundini
 
Mwanakondoo mmoja anaporudi zizini!
Ni furaha iliyoje.....

Mkuu nikuongezee kidogo hapo... Furaha bado haijakamilika kwani Shepherd JF inabidi arudi kule porini kutafuta yule mwanakondoo mwingine aliyebaki amepotea..

Aluta continua..mapambano bado yanaendelea..
 
bravo.... Nenda kapime VVU... uteletee majibu. ndio tutakuona sasa umekua... na umrejee Muumba wako
 
bravo.... Nenda kapime VVU... uteletee majibu. ndio tutakuona sasa umekua... na umrejee Muumba wako
<br />
<br />
Hahahaaa! Data unataka Data? Kwel nenda kapime mkubwa then jitahidi uache kabisa hyo tabia!
 
dhambi zako zimesamehewa. Nenda usitende dhambi tena...kama unatishia nyau ujue kazi ya mapigano na pepo ndio imeanza. Kama ulikuwa na pepo moja la ngonoujue limeenda kuita wenzie saba waje wakumalize. Stay blessed
 
Hongera; wewe ni Mbegu iliyodondokea kwenye udongo wenye rutuba na kuzaa matunda! If u know what Jesus meant in l don't remember which book of the Holy Bible!
 
Hello JF!

Nilikuwa mtu wa kubadili wanawake kama nguo, sikuwahi kuwa na upendo wa dhati ktk maisha yangu kwa wanawake, but tangu nimeanza kutumia hili jukwaa la mapenzi nimejifunza mengi na nimebadili mwelekeo wa maisha yangu ya kimapenzi kwa kiasi kikubwa!

GOD bless u!!

mkuu lakini umepima??????
 
Mungu ni mwema bt majibu ya damu kubwa ndo itakamilisha furaha z2 na wifi 2mjue karibuni basi kaka!
 
Back
Top Bottom