Maamuzi sahihi ni yapi? Msaada!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maamuzi sahihi ni yapi? Msaada!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Zedikaya, Aug 19, 2011.

 1. Z

  Zedikaya Senior Member

  #1
  Aug 19, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi ni msichana mrembo, msomi, aged 26, kuna kaka mmoja (30) ana mke wake na watoto wawili,he is handsome, has a cute wife ,familia yake ina furaha,
  Mada> huyo people kanizimia kitambo na for 2 years tuko ktk uhusiano ambao mda wote huo kijana anasisitiza kunioa huku akidai wakat anaoa hakuwa na ufahamu wakutosha juu ya uamuzi wake na kudai kuna mambo mengi ambayo haina haja kuyazungumzia but promice zake ni kuishi nasi kwa upendo na misingi yote ya mapenzi bora,.
  Nipeni reality kuhusu kuolewa naye kama b/mdogo au nikatae japo mi binafsi namkubali kijana.
   
 2. Quinty

  Quinty JF-Expert Member

  #2
  Aug 19, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 463
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ni vyema umesema wewe msomi...kabla sijakushauri kisomi zaidi hebu tuweke wazi jamaa kaoa ndoa gani ya kiserikali au kiislamu au ya kimila...! Maana kwa unavyoeleza ni kama vile wataka kuolewa mke mdogo nayo inakubalika tu pale ambapo ndoa ya kwanza halali ni ya kimila au ya kiislamu(kwa wale wanaoruhusu) mke zaidi ya mmoja.
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Aug 19, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  maamuzi sahihi yapo moyoni mwako tayari....
   
 4. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #4
  Aug 19, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Kama mnapendana na ndoa yenu itakutambua wewe pia ni mke halali hakuna kipingamizi. Jiandae tu kwa ukewenza kama upo tayari.
   
 5. Z

  Zedikaya Senior Member

  #5
  Aug 19, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi mkiristu, yeye kaoa kijadi
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Aug 19, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  sasa kama kijadi mnaweza kuoana.oaneni tu...
  tatizo liko wapi?????
   
 7. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #7
  Aug 20, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,806
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  zedikaya wewe ni mwanaume au mwanamke...nakumbuka ulishaleta mada ya mkeo hapa au nachanganya madesa mnh...
   
 8. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #8
  Aug 20, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  He! Saaly hebu tupe kdg
   
 9. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #9
  Aug 20, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  haaaah we Saaly umeshaambiwa yeye ni mrembo na msomi mbna humuamini?!
   
 10. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #10
  Aug 20, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Yale yatakayokupa furaha...!
   
 11. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #11
  Aug 20, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Lizy hujalala tu!au upo half tym mamy?angalia basi usitoe ukelele na ww ukawaamsha majirani
   
 12. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #12
  Aug 20, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Nilale mchana kwani mi
  mzazi?!
   
 13. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #13
  Aug 20, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  haaah haah we sema tu upo half time lol
   
 14. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #14
  Aug 20, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Siwezi kua half time....mi ni FULL time!
   
 15. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #15
  Aug 20, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  haaah haah haah so unawajibika huku unachat?
   
 16. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #16
  Aug 20, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Yeah nipo naosha vyombo alafu simu yangu ina voice command!
   
 17. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #17
  Aug 20, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  mmmh acha wanga ww! Unaosha vyombo ucku wote huu
   
 18. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #18
  Aug 20, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwani kuna muda maalumu?!Si kila mtu na ratiba yake....ama?!
   
 19. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #19
  Aug 20, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  haya bana Lizy japo mtata sana.
   
 20. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #20
  Aug 20, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Utata wangu nini sasa?!
   
Loading...