Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Bwana yesu asifiwe wakuu!!kuna mdada flan hv nimetokea kumpenda kwa dhat,sasa bahat mbaya me ni m2 wa utan sana so nimempga sound akanambia eti me cko seriously na ka nko seriouz,bas inabdi nfanye...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Thursday, July 30, 2009Chunga sana mdomo wako! Sisi wote huwa tunaongea na marafiki na watu wa karibu kuhusu ndoa zetu, hata hivyo mambo tunayowaambia marafiki ni muhimu sana na huweza kuleta...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
wadau wa jamvin, Mwenzenu nimekuwa nikisikia kwa wakati tofauti watu (wote wadada na wakaka) wakisema "namtaka mpenzi mwenye mapenzi ya dhati" Honest neno dhati mpaka sasa cjapata kuelewa maana...
2 Reactions
61 Replies
25K Views
Unapoishi nyumbani na ndugu yako, jamaa yako au hata mtumishi wa kike, ni vizuri ukajitahidi kulinda ndoa yako. Kumbuka kwamba, wanaume hawajali hisia, hujali zaidi mwili. Kama ukimwachia ndugu...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
hivi kunaulazima kama umetengana na boyfriend/girlfriend wako kwenda kuanika kwa FACEBOOK!!! inaulazima kiasi gani, afu mara nyingi yule anayekuwa na makosa ndo wakwanza kujishuku kwa FB teh teh
0 Reactions
41 Replies
4K Views
  • Closed
Good morning. I am Abdelhak, from Algeria, but I live in the U.K. I favored to write in English because I have a bit of a broken Arabic. I always watched your lectures on Ikra TV and ever found...
0 Reactions
59 Replies
5K Views
Maadui wa mwanamke kufika kileleni Si utundu na ujanja wa mwanaume tu unaomwezesha mwanamke kupata utamu wa kufika kileleni (mshindo, orgasm, coming) bali mwanamke pia anahusika.Kufika kileleni...
3 Reactions
5 Replies
14K Views
Polen na hasira za kusafishwa kwa jairo wakuu!ebana,nlikuwa na gf wangu mmoja hv,miez ka mitano hv 2lipgana chini{2liachana},tangu hapo mwenzangu ananiambia eti ameokoka,hii ni kwel au 2 njia ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
#Kwa mlio kwenye ndoa naombeni ushuhuda wenu,... #na kwa mlio kwenye uchumba toeni duku duku lenu pia (nipo kwenye kundi hili),... #kwa mnao tafuta someni kwa makini mtajifunza kitu. Katika...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Nimelazimika kujiuliza maswali mengi zaidi leo alfajiri baada ya tukio la kusikitisha; usiku wa leo saa tano nikiwa nimelala niliamshwa ili kumkimbiza hsptl bint aliyekunywa betri acid baada ya...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
wakuu,<br /> huwa nasikia inaongelewa mara nyingi lakini siamini,mwenye uhakika wa hili suala atujuze tusiofahamu.<br /> Nawasilisha..
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa nini ni rahisi sana kwa mschana/mwanamke kubadili imani yake (dini, dhehebu) ili kuwa na mpenzi(mwanaume) fulani..?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mara nyingi nimekuwa nikifuatilia threads zenye kuuliza mapenzi ni nini??? Lakini,baada ya hivi karibuni kumpata mwandani wangu,baada ya kusota bila mafanikio humu jf aliniuliza nini maana ya...
3 Reactions
111 Replies
7K Views
pamoja na kuwa na kampeni kutokomeza ukimwi watu wanazidi kufa, hawatumii CONDOMS, sababu 1. Aibu, wengi ni vijana wadogo na wengine ni wazee wenye heshima zao, so kwenda kuagiza kondom...
5 Reactions
54 Replies
3K Views
Relationship is like a book,it takes years to print but seconds to burn,so print your relationship carefully and never let it burn.
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimechoka na kero za mpenz wangu.nikaamua kumwambia "it ova" na kuitupa ring yenye thamani kwenye dampo..mana nimeona kuuza c vizur.bora nitoe uthaman.
1 Reactions
87 Replies
8K Views
unawez ukakaa kw mud mref bil y kuwasilian n mpenz wak?s dat lv o 2nadanganyan
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mpaka rangi, Mzaire wa saluni, taxi driver, muuza genge, muuza chips, mwalimu wa mazoezi yaani hawa jamaa ni noma kidogo kidogo unaweza ukakuta anammega umpendaye. Hawa wana mivuto sana kwa...
2 Reactions
73 Replies
7K Views
I wish falling in love had traffic light so people would know if they should go,slow down or just stop to avoid heart accident.
2 Reactions
10 Replies
1K Views
JAMAA FULANI BOX NI HUKU HUKU KITAA 26th 08 2011. KITAA. MWILI WA BINADAMU. MOYO . Mpendwa, YAH:KUINGILIA MAJUKUMU AMBAYO HAYA KUHUSU. Tafadhali...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…