Mahusiano Vs Personality

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,324
2,238
#Kwa mlio kwenye ndoa naombeni ushuhuda wenu,...
#na kwa mlio kwenye uchumba toeni duku duku lenu pia (nipo kwenye kundi hili),...
#kwa mnao tafuta someni kwa makini mtajifunza kitu.

Katika mahusiano na huyo uliye naye,...au unaetaka kwa nae katika maisha yako
ungependa muwe na personality sawa au mnazo personality sawa?

Kwa mfano:-
*wewe ni muongeaji sana,unapenda sana kujichanganya na watu,..
*ukiumizwa unapenda kulia sana kabla ya kusema kilicho kuumiza,...
*labda unajiwaza wewe tu zaidi ya unavo waza wengine (introverted )
*Au unawaza na kujali wengine zaidi ya unavo jijali mwenyewe (extroverted)
*labda wewe ni mtu unae penda sana kuongoza,...(you like leading)
*labda ukipata tatizo wewe huwa una panic sana au ukipata tatizo hua huoneshi tofauti yoyote
*labda mara nyingi unafanya kitu baadaye ndipo unawaza madhara yake
* ............nk nk nk

Binafsi kwa mtazamo wangu niko tofauti na niliye naye tunatofautiana personality sana
na katika kutofautiana huko tunaishi vizuri maana inasaidia kujua kua mwenzangu katika
hali flani yuko hivi,....(sio sawa na mimi kabisa)

Yeye ni muongeaji sana,mimi sio,....
yeye anafanya kazi vizuri sana akiwa kwenye group,..mimi nafanya vyema sana nikiwa mwenyewe,...nk

Watu wengi hua wanasema, "natafuta wa kufanana na mimi",....mnadhani ni sahihi?

na personality zingine nyingi tu,je ungependa kuwa na mwenzi wako ambaye mnafanana personality?
 
personalty zikifanana au zisifanane poa tu wat i nid ni mtu NINAYEPENDANA NAYE.

cha msing upendo ivo vingne mbwembwe tu......

mshind wa marathon anaweza muoa KIWETE ASIYEWEZA ATA TEMBEA
mwenye macho anaolewa na kipofu
bubu anaolewa na mtangazaji
mwislamu na mkristu

anayependa kulia anaolewa na anayependa kucheka
socialista anaoa liberalist
gaddaf anaoa bnt wa obama
ccm anaolewa na cdm
bobby marley anamuoa hadija kopa
hitler anaoa israel
nyan ngabu anamuoa lizzy
faiza fox anaolewa na padre
swala anaolewa na konokono

PERSONALTY .TOFAUTI ZA MITIZAMO AINYIMI WATU KUISH PAMOJA ....KINACHOTAKIWA NI LAV...MKIPENDANA KILA KITU KINAWEZEKANA
 
Katika mahusiano na huyo uliye naye,...au unaetaka kwa nae katika maisha yako
ungependa muwe na personality sawa au mnazo personality sawa?

nani kakwambia hayo..................................unatafuta mtakayelewena...........ingawaje mara nyingi unatafuta yule ambaye atakidhi vionjo vyako na baadaye kugundua siyo kamilifu kama ulivyotegemea na tatizo ni kutegemea makubwa kulikoni hata uliyonayo.........
 
Kwa mara ya kwanza nimeshindwa kuelewa unaongea nini hapa
 
personalty zikifanana au zisifanane poa tu wat i nid ni mtu NINAYEPENDANA NAYE.

cha msing upendo ivo vingne mbwembwe tu......

mshind wa marathon anaweza muoa KIWETE ASIYEWEZA ATA TEMBEA
mwenye macho anaolewa na kipofu
bubu anaolewa na mtangazaji
mwislamu na mkristu

anayependa kulia anaolewa na anayependa kucheka
socialista anaoa liberalist
gaddaf anaoa bnt wa obama
ccm anaolewa na cdm
bobby marley anamuoa hadija kopa
hitler anaoa israel
nyan ngabu anamuoa lizzy
faiza fox anaolewa na padre
swala anaolewa na konokono

PERSONALTY .TOFAUTI ZA MITIZAMO AINYIMI WATU KUISH PAMOJA ....KINACHOTAKIWA NI LAV...MKIPENDANA KILA KITU KINAWEZEKANA

Sidhani kama umeelewa topic husika,...na uliyo orodhesha hapo kwenye red sio personality!
Asante kwa kuchangia lakini
 
Personality zisipofanana uwezekano wa uhusiano kudumu ni mkubwa. Ila kuna personality zilizo tofauti na zinakinzana hizo kidogo unahitaji kufanya kazi ya ziada ili uhusiano udumu. Google mambo ya nyota utaona wanavyoelezea. Mfano mimi nyota yangu ni ya wale watu wanaojali sana kuhusu maisha ya kesho. Mume wangu ni quite opposite. Yeye ni ku spend kwenda mbele. Sasa hii ni difference ambayo ni rahisi sana kuleta ugomvi ndani. Hence unahitaji kufanya kazi ya ziada kuvumiliana. Ila kuna personality ambazo zina differnce lakini bado ni compatible.

Mfani mimi najali sana savings na investments. Mume wangu hana worry yoyote. Kuwa na mimi kwa upande mmoja kunamsaidia kuwa na maendeleo tofauti angekuwa na mtu walio kwenye group moja. tatizo sometimes nina sound mkorofi pale ninaposhauri tuachane na matumizi yasiyo na lazima.

Ila kwa kuwa mimi ni mdadisi nilishasoma mambo ya nyota (tarehe za kuzaliwa) nikagundua tofauti zetu hence nimeamua kuvumilia na kujaribu kupunguza demands za saving.

Nadhani nimesomeka.
 
its all about compatibility na sio kufanana....
mnatakiwa muwe mna compilment each other kwenye peronality zenu.....
 
Sidhani kama umeelewa topic husika,...na uliyo orodhesha hapo kwenye red sio personality!
Asante kwa kuchangia lakini

tatizo autak jibu..una jibu lako kichwan ambapo mtu akikumbo kdg unahisi si jibu
waza.tafakari fresh kwenye io io mistari red utapata nilichomaanisha

km apo juu ulivyomshushua rutashunyuma ambako yeye alkuwa anamantik kabsa kukop phrase ile na kukupa jawabu lakin umeliktaaa

inaonyesha una PERSONALITY NGUMU KDG...kweli inabd uwe makin kumtafuta km wewe...mgumu wa kuelewa so to say
 
Sidhani kama umeelewa topic husika,...na uliyo orodhesha hapo kwenye red sio personality!
Asante kwa kuchangia lakini

matumizi ya lugha nehiiiiiiiiiiii..pole sana
i?
ehh wewe wawap?
cheza na lugha wewe.....endelea kushushua manake leo naona umekalia mbigili
umezoea mtu akisema bubu basi ni bubu kweli?
kipofu basi kipofu kwel
 
Personality zisipofanana uwezekano wa uhusiano kudumu ni mkubwa. Ila kuna personality zilizo tofauti na zinakinzana hizo kidogo unahitaji kufanya kazi ya ziada ili uhusiano udumu. Google mambo ya nyota utaona wanavyoelezea. Mfano mimi nyota yangu ni ya wale watu wanaojali sana kuhusu maisha ya kesho. Mume wangu ni quite opposite. Yeye ni ku spend kwenda mbele. Sasa hii ni difference ambayo ni rahisi sana kuleta ugomvi ndani. Hence unahitaji kufanya kazi ya ziada kuvumiliana. Ila kuna personality ambazo zina differnce lakini bado ni compatible.

Mfani mimi najali sana savings na investments. Mume wangu hana worry yoyote. Kuwa na mimi kwa upande mmoja kunamsaidia kuwa na maendeleo tofauti angekuwa na mtu walio kwenye group moja. tatizo sometimes nina sound mkorofi pale ninaposhauri tuachane na matumizi yasiyo na lazima.

Ila kwa kuwa mimi ni mdadisi nilishasoma mambo ya nyota (tarehe za kuzaliwa) nikagundua tofauti zetu hence nimeamua kuvumilia na kujaribu kupunguza demands za saving.

Nadhani nimesomeka.

Kwa mfano hapo kwenye red,hauoni kwamba kwa kua mna personality zinazo fanana
*kwa mfano wote ni waongeaji sana,
*au wote mnapenda sana argument,....nk
*au wote mnapenda kuwa juu
hauoni ni rahisi sana kugombana na kupelekea ndoa kuvunjika?

na kwa upande mwingine mkiwa na personality zisizo sawa na ukawa una mfaham
tofauti ya personality zenu ni rahisi sana ndoa kudumu maana mwenzako akikosea kitu
utagundua ni kwakua yuko hivi na hivi,.....?
 
Mimi kwa kweli niko tofauti na my huby kabisa but tunaishi poa

safi sana,...
kuna mzee mmoja,juma tano walikua wanasherehekea miaka25 ya ndoa
lakini nilipopata mda kuzungumza nae alisema
"tumedumu mda mrefu sana kwa sababu hatufanani,tulioana kila mtu ana personality zake
na ndio chachu ya sisi kuvumiliana mda wote huu",....akaongeza,....

Tatizo siku hizi vijana mnatafuta watu mnaofanana nao kabisa (ingawa ni vigumu kumpata),.
ila hata mnapo wapata wale ambao mnadhani mnaendana,mambo lazima yabadilike hasa
pale itakapotokea wote ni wabishi,....na vitu kama hivo,.....
 
matumizi ya lugha nehiiiiiiiiiiii..pole sana
i?
ehh wewe wawap?
cheza na lugha wewe.....endelea kushushua manake leo naona umekalia mbigili
umezoea mtu akisema bubu basi ni bubu kweli?
kipofu basi kipofu kwel

Lugha za kina shibuda hizo siziwezi ndugu yangu,...
sasa kumchimbua gadafi ni nani,ana personality zipi na obama hivo hivo
afu nipate picha una maanisha nini itagharimu miaka mingi kufanya hivo
na huo mda ni adimu sana
 
Back
Top Bottom