Ni baadhi tu ya tafiti za kimawazo!

First Born

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
5,310
1,473
pamoja na kuwa na kampeni kutokomeza ukimwi watu wanazidi kufa, hawatumii CONDOMS, sababu

1. Aibu,
wengi ni vijana wadogo na wengine ni wazee wenye heshima zao, so kwenda kuagiza kondom dukani anaona kama ni kujidhalilisha.

2. Chap chap
mtu anatongoza na kukubaliwa bila yeye kutarajia, so atafanya bila kutumia kondom kwa kuokoa hiyo chance adimu.

3. Umbali
wengine wanaishi mbali na maduka, inakuwa vigumu kujiwekea akiba

4. Nuksi
wengine hawatembei nazo akidhani kuwa anapokuwa na kondom mfukoni ndo kwanza dili halitafumuka

5. Hisia
kondom zinapunguza joto na kumfanya mwanaume/mwanamke achelewe kupata hisia

6. Gharama
unakuta mtu kakubaliwa wakati hana hata sh 50 na hataki kuachia nafasi

7. Upatikanaji
hasa maeneo ya vijijini kuuza kondom ni ishu, hadi ukutane na maduka ya dawa au maduka makubwa

8. Uimara
mara nyingini kondom zimelalamikiwa kupasuka, na pia utakuta hata kama ikipasuka katikati ya mechi watu hawastop hadi bao

9. Imani potofu
wengi huamini kondoms zina virusi, so wanaona bora tu mechi ichezwe bila viatu.

10. Kukosa umakini
eitha kupita kwa muda wake wa matumizi au kuchanwa na makucha na kutumia bila kuzingatia hilo.

unaweza kuongeza zaidi

source: First Born

Niongeze sababu nyingine chache:
1. Mijitu mingine inajua kabisa imeukwaa halafu ndo kwaaanza linaingia peku peku kisa eti 'tufe wote' ,hovyo kabisa hawana tofauti na nduli.
2.Kuna watu wana allergy na rubber,Ulaya nasikia kwa watu kama hawa zipo condom zao special lakini aghali sana (dola ishirini kipande,Bongo tutaweza?)
3.Ujinga. Mtu anajisemea 'jamani mwanamke mzuri hivi asisikie joto la shahaw yangu?
4.Uume mkubwa saaaana au mdogo sana. Hizi condom zetu standard size kuna watu zinawabana kweli kweli maana hata kuivaa tabu,mwingine kibamia ndo hivo haikai
........itaendelea ngoja nikapate moja baridi kwanza Rose Garden......karibu First born!

asante bishanga, napata Tusker mitaani.

Nakubaliana na mawazo ya Bishanga
Na wengine tuna alergy na mamipira bana hata kutumia tunaona soo
Na maumbile nayo maana tunabanwa banwa wakati tunahitaji ufree kwenye yale mambo
Na hawa watoto wazuri bana kutumia mamipira ni soo sana wakati wana kila kitu cha kuturidhisha
Duh sio mimi bana kuna mtu kaiba paswedi yangu

ukiona mtu haogopi kufa na anajipeleka kama mbwa anavyjipeleka kwa chatu basi ujue huyo Muumba amemkataa na kwa hivyo kamruhusu afanye atakavyo mwenyewe.......

Nakubaliana na mawazo ya Bishanga

Na wengine tuna alergy na mamipira bana hata kutumia tunaona soo

Na maumbile nayo maana tunabanwa banwa wakati tunahitaji ufree kwenye yale mambo

Na hawa watoto wazuri bana kutumia mamipira ni soo sana wakati wana kila kitu cha kuturidhisha

Duh sio mimi bana kuna mtu kaiba paswedi yangu

Hahaha Rocky taratibu banaaa

Asee mkuu,
tabia ya wanaume watu wazima kusalandia vibinti vidogo ambavyo haviwezi kuwa na maamuzi na kuyasimamia on consistent use of condoms inapelekea mijibaba kuvikandamiza hivi vibinti kavu kavu.

Pia tabia ya kuona wasichana wa umri mdogo hasa wa sekondari na early years of college kama vile ni salama sana....watu wanajiachia tu!

kabisa mkuu, inasikitisha.

Na hapo ndio wanaona mtaji wao ulipo wakiamini ni salama

Back
Top Bottom