Hii ni kweli au anazuga?

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,044
1,999
Polen na hasira za kusafishwa kwa jairo wakuu!ebana,nlikuwa na gf wangu mmoja hv,miez ka mitano hv 2lipgana chini{2liachana},tangu hapo mwenzangu ananiambia eti ameokoka,hii ni kwel au 2 njia ya kujiweka mbali na min.
 
Ultangaza kumrudia?by da way it dpend mliachania nn mpk akakuambia hvyo.
 
Au sijaelewa... si mlishapigana chini??
Kuokoka kwake kunakudhuru vipi iwe kweli au uongo??
 
Polen na hasira za kusafishwa kwa jairo wakuu!ebana,nlikuwa na gf wangu mmoja hv,miez ka mitano hv 2lipgana chini{2liachana},tangu hapo mwenzangu ananiambia eti ameokoka,hii ni kwel au 2 njia ya kujiweka mbali na min.
we bwana wee kwani si mlishaachana? Au We ulitaka muwe mnaendelea kuwa karibu? Kwa nini ikutouch kama kuokoka kwake kunamaanisha umbali kati yenu
 
Wote kuachana haiwezekani, Lazima kuna mmoja alimpiga kibuti mwenzake, sema mkuu unaugulia maumivu nn?
 
kama ni ww ulimuacha inawezekana amegundua unapenda walokole, so kavaa ngoz ya kondoo ili apate second chance
 
Me nlimpotezeaga,nkafuta na numbr zake,bt cha kushangaza juzi kati kanipgia,ktk maongez ye2 akawa anancctizia kwamba ye kaamua kuokoka na ananshaur na mie niokoke...sa cjui ndo anataka kuniingza king tena au vp!
 
Polen na hasira za kusafishwa kwa jairo wakuu!ebana,nlikuwa na gf wangu mmoja hv,miez ka mitano hv 2lipgana chini{2liachana},tangu hapo mwenzangu ananiambia eti ameokoka,hii ni kwel au 2 njia ya kujiweka mbali na min.
sasa kama mwenzako kaokoka we huamini nini? kama huamini shauri lako, ila kama ni mimi hapo hakuna tena ubishi,,,,,,,,,,, kama mlipigana chini sidhani kama kuna umuhimu wa kufuatlia maamuzi yake.
kiufupi anamilikiwa na mwenye kufuatilia maamuzi yake yupo!!!!!!!!
 
hata ka anakuavoid si mlishapigana chini wot mo else u want?nawe chukua tme yako ndgu amka
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom