Nimeitupa engagement ring dampo

Vaislay

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
4,532
1,822
Nimechoka na kero za mpenz wangu.nikaamua kumwambia "it ova" na kuitupa ring yenye thamani kwenye dampo..mana nimeona kuuza c vizur.bora nitoe uthaman.
 
Mkuu nimeshindwa kujua anataka nini tumpongeze au tumcheke au tumshauri aende akaiokote au aiache humo humo
 
Wengine kwa hasira waliishia kujiua..lakini wakiwa kaburini walijiuliza kwanini walijiua wakati issue ni simple..."Just forget"
 
Kipindi cha engagement ndio haswa maalum kwa hayo uliyofanya!
Mi naona ni sahihi tu, ila pete imekosa nini kuitumbukiza dampo?...Haitomtosha mwengine?
 
Penzi ni kama kiti cha basi la abiria, unaposhuka anapanda mwingine..
 
Dampo gani mwaya nikaiiokote nikamvalishe demu wangu na mimi? ila na wewe hizo ni busara au matope? sasa kama mngekuwa mmeshazaa ndio ungewanyonga watoto au ungefanayeje? Nadhani ulitumia masaburi kufikia uamuzi wako
 
Umetupa taarifa! unataka ushauri ili urudiane naye au uendelee na msimamo wako, unatafuta mwingine hapa JF au unataka nini hasa?
 
Kuyaanika hapa hayo ya kutupa ring lengo lako ni nini?
Tukuombe ukaiokote au tuanze kulia?
kuwa muwazi unataka nini?
kwa heri, ntarudi tena baadaye kuona watu wameweza kuchangia nini.........
 
Mbona alipokuvisha hukutualika jamani shemeji muasi? wenzio wanalilia hizo pete hata za kujinunulia wenyewe halafu wewe umvishe tu hawawaoni, umemtukana mamba kabla ya kuvuka mto mama, hako kajamaa kanako kudanganya na gari ungejua si lake ni la jamaa yuko nje ya nchi kikazi ndio kamwachia kwa muda, usitake kuwafanya wanawake waonekane viumbe dhaifu kwa hasira zako na tamaa zako, kumbe ni pete ya thamani halafu umeitupa, kweli una akili wewe?
Nimechoka na kero za mpenz wangu.nikaamua kumwambia "it ova" na kuitupa ring yenye thamani kwenye dampo..mana nimeona kuuza c vizur.bora nitoe uthaman.
 
Nimechoka na kero za mpenz wangu.nikaamua kumwambia "it ova" na kuitupa ring yenye thamani kwenye dampo..mana nimeona kuuza c vizur.bora nitoe uthaman.

So, are you trying to say that you are now available...PM zinakaribishwa? Kuwa muwazi tuanze kukukuruka!
 
una bahati nimeoa, ningekuchumbia mimi ningrkuvisha ya kuchovya, ikichujuka ikiisha na penzi ndio limeisha
 
Mkuu nimeshindwa kujua anataka nini tumpongeze au tumcheke au tumshauri aende akaiokote au aiache humo humo

mwambie akaiokote bhana kama kweli ni ya thamani mi nikaiuze kama yeye hataki kuiuza.
Kama vipi we mpm aniambie alikoitupia mi nikaitafute.
 
Wasichana wengine bhana, yaani mshkaji ka-toil kupata pesa akutengenezee pete wee hasiria zako tu unakuja kututangazia ujinga wako hapo....
 
Kama ulikuwa hujui pete ya uchumba huwa ina laana,yaani hapo maana yake umejitoa thamani,kila mtu atakuona kama takataka la kwenye hilo dampo ulioitupa.SUBIRI MAJIBU YAKE SASA.
 
Nimechoka na kero za mpenz wangu.nikaamua kumwambia "it ova" na kuitupa ring yenye thamani kwenye dampo..mana nimeona kuuza c vizur.bora nitoe uthaman.

Inabidi tuanze kupiga ndogondogo, asante kwa taarifa.
 
Back
Top Bottom