tendo la ndoa uzeeni@

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
47,133
17,099
<!--[if !supportEmptyParas]-->Je, wazee wenye umri mkubwa bado huwa hamu kubwa ya tendo la ndoa?
Utafiti wa sasa unaonesha kwamba jinsi mtu anavyozidi kuwa mzee uwezo wa kuonja, kunusa, kusikia na kuona hupungua.
Pia uwezo wa kusisimuliwa kwa kuguswa hupungua pia.
<!--[if !supportEmptyParas]-->Kiasili uwezo wa kusisimuliwa kimapenzi na uwezo wa kufanya tendo la ndoa pia hupungua (libido)Pia Utafiti unaonesha kwamba uwezo wa kufanya mapenzi huweza kupunguza kutokana na umri kuwa mkubwa ingawa pia umri kuwa mkubwa hauwezi kuzuia kabisa hamu ya tendo la ndoa (terminate)
<!--[if !supportEmptyParas]--><!--[if !supportEmptyParas]-->Kuna ripoti kwamba wanaume na wanawake wenye umri wa miaka 50 hadi 80 bado wana hamu kubwa ya kufanya mapenzi (libido) na si kufanya tu bali kufurahia mno tendo lenyewe. <!--[endif]-->
 

Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,980
9,547
hamu ipo mpaka afe weweeeeeee! tena siku anakufa unakuta jamaa anatema
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom