Jamani waoneni wanawake hawa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani waoneni wanawake hawa

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Asuu, Sep 13, 2011.

 1. A

  Asuu Member

  #1
  Sep 13, 2011
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nijambo la kawaida mkena mume walianzia kwenye urafiki wa kawaida na baada ya muda mfupi au hata kipindi kireeefu kua marafiki hatimae hufunga pingu za maisha je? Tuwaangalieje hawa wadada bilaya urafiki au hata kumjua vema kitabia, ukimgusatu wantaka upeleke posa kwao eti kisingizio ni geti kali. Jameni wana jf.hubu nitoeni taka za machooooh!.
   
 2. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  don not pre judge...................huh
   
 3. Nailyne

  Nailyne JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 350
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwani we ujui kuolewa sasa ni fashion.. kwi kwi kwi., yupo kazini huyo anatafuta mume!
   
Loading...