Si tunapenda kuchelewa kurudi kwingine akukaliki!!oohhhh


P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
39,863
Likes
8,686
Points
280
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
39,863 8,686 280
Jamani niwape kisanga hiki jana niko kwenye basi akapigiwa mwanaume mmoja na mkewe ama hawara wake atujui lakini yaonyesha wanaishi pamoja,samahani hata kama wanaishi pamoja sijajua wamekaa miaka mingapi kama sheria inavyosema niwahahlalishe akaulizwa uko wapi akaajibu nipo ofisini bado ...

Nahisi katika maongezi akaulizwa mbona gari linatembea akasema anapeleka docs upande wa pili waofisi yao yaani bila chenga wala chozi na acheki wenye kushindwa kuhimili tukaanza kucheka akakata...Mwenzake akasema vipi mbona unampiga mchanga wa macho shemeji...nilizi
mia jibu lake.

"Hivi unahisi wengine hatupendi kuwahi majumbani la hasha kwingine akukaliki ndugu" wakikuona hata ukienda kulala kitandani wanakufwata wanakutafutia neno nani anataka.. Akamuuliza waenda wapi sasa hivi akajibu anaenda kushuka Tabata apate mbili tatu arudi home....

Maswali yalianza kunijia ifuatavyo

Alishukia external sijui alisahau kwamba amesema tabata??

Na akiwa anashuka hata kuaga mwenzake zaidi ya kesho nikajiuliza yawezekana kweli kuna matatizo kwake lakini ndugu zangu kuna matatizo mengine tunayaongeza wenyewe...

Nimejiuliza kama ameweza kumdanganya mwenza wake hivyo na hapo hapo akadanganya kwa rafiki yake anashuka tabata
akaishia external...je hii tabia ya uongo naomba niwasaidie ndugu zangu ni mbaya mbaya sana sana..

Nasema hivi ni ya aibu na kukuaibisha nje nje.... Angalia mtu mzima anadanganya mwenza wake hapo hapo anadanganya gari zima na rafiki yake anashuka tabata......

Ni kweli kuna matatizo kwenye familia na labda niongezee matatizo huongeza upendo kwenye ndoa na heshima zaidi.
 
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Messages
39,863
Likes
8,686
Points
280
P

Pdidy

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2007
39,863 8,686 280
Mwongo ni mwongo tu kwa kweli hata kwakokuwe na amani utabaki mwongo
 
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
42,395
Likes
38,573
Points
280
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
42,395 38,573 280
Hayatuhusu.........
Napita tu hapa
 
Chauro

Chauro

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Messages
2,969
Likes
19
Points
135
Chauro

Chauro

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2010
2,969 19 135
Hamna kitu kibaya kama kuamini kila wakati wengine ndio wanakuletea matatizo kwenye maisha yako ...........upi mchango wako kwenye matatizo yaliyokuzunguka je kukimbia tatizo ndio kutatua matatizo...................
 

Forum statistics

Threads 1,235,907
Members 474,863
Posts 29,240,042