Eti, kisa kutokukumbuka namba ya simu yake.........................

bacha

JF-Expert Member
Aug 19, 2010
4,282
797
Jamaa mmoja amesikika akilalamika kwa mwenzie kwenye kijiwe
kimoja cha kahawa, mitaa ya Livingstone, Kariakoo..............

Eti mkewe kachukia kweli, kisa kwanini hajaweza kuikumbuka namba ya mkewe kichwani,
mpaka aangalie kwenye simu?

mbona mkewe anaikumbuka namba ya simu yake kwa kuitaja hata akiwa usingizini?

akazidi kusema kuwa basi mkewe ameconclude kuwa hapendwi, kama tu mmewe anashindwa kukumbuka,
vitu vidogo tu hivyo, je hayo makubwa ataweza vipi?

MIE NILIPOMALIZA KUNYWA KAHAWA YANGU NIKAJIONDOKEA LAKINI SIJUI WALIFIKIA CONCLUSION IPI?

SASA NIMEBAKI NAJIULIZA, NA NIKAPENDA KUILETA KWENU ILI TUSHIRIKIANE KUICHAMBUA HOJA YA MSHIKAJI.................

Hivi kumbe hawa dada zetu inakuwa issue sana usipoweza kuikumbuka namba ya simu kichwani?
hivi inaweza kuwa ni sababu mojawapo ya kuonyesha kuwa humjali mwenzio?

MBARIKIWE NYOTE WAPENDWA
TUMSIFU BWANA...................................

duu na hiyo sasa kali kwani phone book ina kazi gani daa sa msala wake na mkewe umeishia wapi

IMO kila mmoja ana namba za muhimu za kushika kichwani in case of emergencies ama matatizo or hata ile kuhofia simu ikiibiwa... saingine ata ile hali ya kusema kua nikizimikiwa charge walau number ninayo kichwani.... sasa kama kati ya number uloshika kichwani ya mume/mke haipo... that says a lot.... Labda uwe hujashika hata moja, kua kichwa chako kigumu kushika number...

mmh, asante Asha kumbe hii kitu huwa inawakera sana eeeh...?

thanks tumekuwa wepesi sana wa kukimbia vivuli vyetu.
IMO kila mmoja ana namba za muhimu za kushika kichwani in case of emergencies ama matatizo or hata ile kuhofia simu ikiibiwa... saingine ata ile hali ya kusema kua nikizimikiwa charge walau number ninayo kichwani.... sasa kama kati ya number uloshika kichwani ya mume/mke haipo... that says a lot.... Labda uwe hujashika hata moja, kua kichwa chako kigumu kushika number...

mmh, asante Asha kumbe hii kitu huwa inawakera sana eeeh...?

Bacha hivi unaniambia ukute mkeo kashika number kibao kichwani kwake lakini yako hajui na ni ya mda mrefu... utafurahia kweli??

Hata mi ningekuwa ndio mkewe ningemind. Madogo hamkumbuki makubwa je? Mmh!
Huyu jamaa ni wakunyimwa unyumba mpaka akiamshwa usingizini awe anazitaja tena haraka ebooo! makubwa gani tukumbuke tena ? kuna njemba ilileta zogo kubwa baada ya kutofahamu saizi ya kiatu cha mkewe miaka 6 ndani ya ndoa.

Mi nafahamu namba za simu za kama wanawake sita kichwani hahaha!
Wanaume mfahamu saizi ya kiuno,sidiria,kiatu na lazima namba ya simu lol!
Bila kusahau tarehe ya kuzaliwa.

Nliyenaye kuna siku alinishangaa eti kwa nini mpaka sasa sijui size ya kiuno na mguu wake! Sikumwelewa

Nimewahi kukaririshwa namba ya simu, kila tukikutane ananitajia namba yake ya simu na kunifafanulia jinsi ya kutoisahau! sikuishika na nashukuru kwa Muumba sikukaa nae hadi awe mke wangu.

Huyu jamaa ni wakunyimwa unyumba mpaka akiamshwa usingizini awe anazitaja tena haraka ebooo! makubwa gani tukumbuke tena ? kuna njemba ilileta zogo kubwa baada ya kutofahamu saizi ya kiatu cha mkewe miaka 6 ndani ya ndoa.

Mi nafahamu namba za simu za kama wanawake sita kichwani hahaha!

Wanaume mfahamu saizi ya kiuno,sidiria,kiatu na lazima namba ya simu lol!

Bila kusahau tarehe ya kuzaliwa.

NA KATI YA HAO SITA, ya mkeo najua haipo kichwani!!!!!!!!!!!!!!

kuna wakati mtu aweza kupata ajali,na kujikuta kapoteza kila kitu. anazinduka hosp,wanamuuliza tuwasiliane na nani! huyo jamaa kuna namba iliyopo kichwani kwake,asijikaushe hapo!

Bacha hivi unaniambia ukute mkeo kashika number kibao kichwani kwake lakini yako hajui na ni ya mda mrefu... utafurahia kweli??

ni kweli haipendezi sana, lakini kwani unaweza conclude hapo kuwa jamaa hana upendo kwa mwenziwe?

Bacha hivi unaniambia ukute mkeo kashika number kibao kichwani kwake lakini yako hajui na ni ya mda mrefu... utafurahia kweli??

...kwa jibu lako hili na lile la incase of emnergency, nimejua umuhimu wa kuishika namba kichwani kwakweli. ahsante sana ashadii!!
kiukweli kuna mambo tunayodhani ni madogo madogo, ambayo unaweza hisi kabisa hayana umuhimu wowote lakini mbele za watu mkaja onekana hamjuani.

mfano;

hujui sizes za mkeo/mumeo
i.e size ya nguo, viatu nk

hujui kimo cha mkeo.mumeo

hujui chakula/kinywaji akipendacho mkeo/mumeo

humjui dakitari wa mkeo/mumeo, nk...
humjuia anadhurika akila nini, almuradi katika 100% ya kila siku
unamjua 99% kwa walakini wake tu.... sio vyema hata kidogo.

mmh, asante Asha kumbe hii kitu huwa inawakera sana eeeh...?

dzain ulisahahu namba ya bmkubwa?
pole.....mi ningekufinya mpk ungeikumbuka...ukumbuki yangu UNAIKUMBUKA YA NAN lbda kwa mfano?panachimbika.

yaani asishike namba yangu nitaandamana, halafu kashika zingine nyingi tu

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom