8 best moments of life!

Yasmin

JF-Expert Member
Jul 28, 2011
241
57
1> Giving the 1st salary to your parent
2>Thinking your love with tears
3>looking old photo$ smiling
4>A sweet $ emetional chat with friends
5>holding hands with your loved ones for a walk
6>getting a hug from one who cares 4 you
7>1st kiss to your child when he/she is born
8>the moments when your eyes are filled with tears after a big laugh.

Life is beatiful-isn't it?

Vin Diesel

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
9,083
6,334

umeona eeh! Tena unaweza ukalia hadi ukajuta kuzaliwa.

Mie huwa nasema kuna kwenye maisha kuna nyakati kama ilivyo misimu ya hali ya hewa...kuna vuli,masika na kiangazi...kila msimu lazima ukukumbe...so wakati wa kucheka jitahidi ucheke vyema maana msimu wa kulia nao waja...

Husninyo

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
23,735
9,119
Mie huwa nasema kuna kwenye maisha kuna nyakati kama ilivyo misimu ya hali ya hewa...kuna vuli,masika na kiangazi...kila msimu lazima ukukumbe...so wakati wa kucheka jitahidi ucheke vyema maana msimu wa kulia nao waja...

na unapolia sana ujue msimu wa kucheka umekaribia.

daughter

JF-Expert Member
Jun 22, 2009
1,275
739
Ndo maana ikasemwa 'live your life to the fullest' time ya kulia lia kikweli na time ya kucheka pia usifanye hiyana.

Gagurito

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
5,600
790
hiyo 1st ipo poa bt 2nd umechemka, hakuna wa kutoa machozi hapa, mapenz/mpenz kwangu ni mambo ya kawaida!

Yasmin

JF-Expert Member
Jul 28, 2011
241
57
hiyo 1st ipo poa bt 2nd umechemka, hakuna wa kutoa machozi hapa, mapenz/mpenz kwangu ni mambo ya kawaida!

its true u can cry 4 the u love if u remember the best time together

fabinyo

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
2,935
1,931
me hiyo ya pili iko poa,hata juzi nimeulizwa eti mbona sitoi machozi siku hizi?hahah!!!

gango2

JF-Expert Member
Aug 31, 2011
1,906
2,164
1> Giving the 1st salary to your parent
2>Thinking your love with tears
3>looking old photo$ smiling
4>A sweet $ emetional chat with friends
5>holding hands with your loved ones for a walk
6>getting a hug from one who cares 4 you
7>1st kiss to your child when he/she is born
8>the moments when your eyes are filled with tears after a big laugh.

Life is beatiful-isn't it?

0. KUVUTA SIGARA bwana!!!!

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Top Bottom