mama zetu vijijini!kiboko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mama zetu vijijini!kiboko

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by BASIASI, Sep 13, 2011.

 1. B

  BASIASI JF-Expert Member

  #1
  Sep 13, 2011
  Joined: Sep 20, 2010
  Messages: 2,546
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 160
  Mama akitumia nguvu zake zote kujitwisha mzigo mkubwa wa kuni katika kijiji kimoja mkoani Tanga ambako nishati pekee ya nyumbani inatoka na mazao ya misitu.
  [​IMG]
   
 2. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #2
  Sep 13, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,350
  Likes Received: 467
  Trophy Points: 180
  na walivyopandisha bei ya mafuta ya taa nadhani misitu itaisha kwa mkaa na kuni
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Sep 13, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 28,196
  Likes Received: 3,130
  Trophy Points: 280
  We acha
  naona hela za dharura za kununua mita ipandwe ziko njiani watu washibe
   
Loading...