Utake usitake mwanamke anabaki wa thamani kwenye maisha yetu;uliza waliotalikiana

Japo ni ndefu sana sijaisoma yote LAKINI ukweli ni kwamba Mwanamke huwa mimi nawaita "MAMA" wako juu sana
 
siachi mwanangu kwa mwanaume ng"ooooo, yani uchungu mie ndo naujua vizuri na utamu wa mtoto naujua vizuri halafu nimwachie mwanaume mtoto... hapana kwa kweli wanangu siwaachi naondoka nao. hapo bora ile free mariage kila mtu kivyake ila tulee watoto.
 
kwl maan tunatofautiana kuwaza mwingne anaweza kusema kitu kama utani kumbe mwenzake anachukulia seriouz so kauli kauli kitu cha kuchunga sna kwenye mapenzi
 
Nimeipenda sana mada, kweli wanaume wanamanyanyaso sana kitu ambacho anakisema anatakiwa ajue yanamuumiza kiasi gani mwenzake na sio kukurupuka tu. liwe fundisho kwa wengine wanao nyanyasa wanawake.
 
Mkuu, nimekupata, ni uchambuzi mzuri ambao umesheheni ujumbe maridhawa kwa wanaume...........
 
Back
Top Bottom