Saying I am Sorry...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Saying I am Sorry......

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MwanajamiiOne, Aug 18, 2011.

1. MwanajamiiOne

MwanajamiiOne Platinum Member

#1
Aug 18, 2011
Joined: Jul 24, 2008
Messages: 10,478
Likes Received: 82
Trophy Points: 145
Wapendwa haya ni baadhi ya maneno/sentences/phrases zitumikazo katika kuomba msamaha kwa mpenzi wako. Kuna ambazo ni more sympathetic kwa kweli kiasi kwamba zinaweza kukufanya ukatabasamu na hacra zako kutoweka kabla hata mwombaji hajamaliza kuomba msamaha na kuna ambazo yaani badala ya kumsamehe kosa alilokosa unajikuta unatamani kumwongezea kosa jingine......................

Kuna hii...................

My darling, If I have ever wronged you, please forgive me
I want to make you smile again, please teach me how to make you smile again
Am dying for you to love me again, am dying to be in your arms again
Please mylove I cant be me if you cant make me feel that

Lakini kuna hii pia ............
...Ah nawe huna dogo? Si yamekwisha??!!

Au............

Bwana eh kama nimekukosea, nisamehe........................!!

Honestly ningependa kujua aina ya misamaa ambayo tulishawahi kuiomba/ombwa kwa/na wenzi wetu.

2. AshaDii

AshaDii Platinum Member

#2
Aug 19, 2011
Joined: Apr 16, 2011
Messages: 16,247
Likes Received: 282
Trophy Points: 180
Nakuomba nisamehe Mpenzi… Napenda niongee mengi nioneshe ni kiasi gani najutia kosa lakini naelewa kua nawe ni binadamu bado una hasira na hujapoa … hivo maelezo yangu yatakua ka kelele tu kwako… nakupa nafasi wa ndani wangu utafakari.. ila naomba nitapo rudi walau moyo wako juu yangu urudi hali ya kawaida… Kikubwa jua nakupenda saana…. Na najihisi si lolote bila penzi lako…. Take care lov...

3. Lizzy

Lizzy JF-Expert Member

#3
Aug 19, 2011
Joined: May 25, 2009
Messages: 22,224
Likes Received: 244
Trophy Points: 160
Samahani!!

Haya naomba samahani.

I‘m really sorry...i didn‘t mean to hurt you.

Sorry!

Heyyy I said i‘m sorry owkeyy.Kama hutaki utajijua!!

Sasa unanilazimisha...samahani basi!!!

4. The Boss

The Boss JF-Expert Member

#4
Aug 19, 2011
Joined: Aug 18, 2009
Messages: 37,826
Likes Received: 22,465
Trophy Points: 280
Habari ndo hiyo...kama umechukia we samehe tu .....lol

5. BlackBerry

BlackBerry JF-Expert Member

#5
Aug 19, 2011
Joined: Mar 22, 2011
Messages: 1,844
Likes Received: 6
Trophy Points: 0
samahani , ile unaendelea kuongea unastukia grrrrrrrrrrrrrrr grrrrrrrrrrrrrrr anakoroma

6. The Boss

The Boss JF-Expert Member

#6
Aug 19, 2011
Joined: Aug 18, 2009
Messages: 37,826
Likes Received: 22,465
Trophy Points: 280
Mimi hupenda kuambiwa hivi....

Sikujua kama ningekuudhi hivi..
Naomba unisamehe....

7. King'asti

King'asti JF-Expert Member

#7
Aug 19, 2011
Joined: Nov 26, 2009
Messages: 27,507
Likes Received: 2,248
Trophy Points: 280
ama kweli pombe si chai. na ww usimsimange usiku banaa,unamuamsha asubuhi na machozi ya kumuibia..

8. Yasmin

Yasmin JF-Expert Member

#8
Aug 19, 2011
Joined: Jul 28, 2011
Messages: 242
Likes Received: 1
Trophy Points: 0

this pain am going through
please forgive me
i need u like i do
don't deny me its pain am going through
please believe me the words am saying is true
please forgive i can't stop loving u! Waoo i like this song by Brayn Adams.

9. King'asti

King'asti JF-Expert Member

#9
Aug 19, 2011
Joined: Nov 26, 2009
Messages: 27,507
Likes Received: 2,248
Trophy Points: 280
baby, that was very thoughtless of me. i am sorry,let me make up for u. i know u hate me now,bt u ar my friend before you ar my lover. at least lets be friends...i miss u when we ar like this (yaani akilengwa na kachozi hapo,weeh hata kama kachinja anasamehewa)

10. The Boss

The Boss JF-Expert Member

#10
Aug 19, 2011
Joined: Aug 18, 2009
Messages: 37,826
Likes Received: 22,465
Trophy Points: 280
Hii thread itakuwa very telling naona....lol

11. King'asti

King'asti JF-Expert Member

#11
Aug 19, 2011
Joined: Nov 26, 2009
Messages: 27,507
Likes Received: 2,248
Trophy Points: 280
LOL, yaani mi huwa nashangaa mkishindwa kutuibia! unajua ndo maana Bible inasema wanaume wakae na wake zao kwa akili? wala huhitaji nguvu, utafuliwa hadi nanilii, utaoshwa na miguu na kupakwa mafuta kabisaa! sasa nyie mnaleta ubabe, aah! msijesema sijawaonya,hehehe

12. King'asti

King'asti JF-Expert Member

#12
Aug 19, 2011
Joined: Nov 26, 2009
Messages: 27,507
Likes Received: 2,248
Trophy Points: 280
from a very old song
'plz forgive me, i cant stop loving u....'

13. BlackBerry

BlackBerry JF-Expert Member

#13
Aug 19, 2011
Joined: Mar 22, 2011
Messages: 1,844
Likes Received: 6
Trophy Points: 0
Hapo hajanywa kachoka kubeba mizigo mizito huko kariakoo shimoni, na unakuwa umemsubiria kwa hamu na huwezi lala lazima ushushe donge lako rohoni, yaani mnaongea vizuri, then anakuppa samahani then unaendelea kuongea mwenzako anaanza kukoroma

14. Lizzy

Lizzy JF-Expert Member

#14
Aug 19, 2011
Joined: May 25, 2009
Messages: 22,224
Likes Received: 244
Trophy Points: 160
Kuna wimbo nasikiliza hapa unaitwa Pole wa Swahili Nation msamaha unaoombwa sio mdogo.

15. A

Ave Ave Maria JF-Expert Member

#15
Aug 19, 2011
Joined: Apr 22, 2011
Messages: 10,757
Likes Received: 34
Trophy Points: 0
Yaani kitu kidogo tu we ushamaind, basi......, kama vipi we nisamehe bana!

16. SHERRIF ARPAIO

SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

#16
Aug 19, 2011
Joined: Aug 25, 2010
Messages: 7,081
Likes Received: 1,817
Trophy Points: 280
AD hayo maneno ni matamu na mazito sana na yatamfanya mwanaume a-melt down................

17. RR

RR JF-Expert Member

#17
Aug 19, 2011
Joined: Mar 17, 2007
Messages: 6,719
Likes Received: 205
Trophy Points: 160
yameisha.

18. Salanga

Salanga JF-Expert Member

#18
Aug 19, 2011
Joined: Nov 18, 2010
Messages: 375
Likes Received: 2
Trophy Points: 0

Lizzy ukiniomba msamaha namna hii nakuongezea adhabu.

19. Nyani Ngabu

Nyani Ngabu Platinum Member

#19
Aug 19, 2011
Joined: May 15, 2006
Messages: 73,651
Likes Received: 35,409
Trophy Points: 280
Bana eeh, samahani basi...

20. Salanga

Salanga JF-Expert Member

#20
Aug 19, 2011
Joined: Nov 18, 2010
Messages: 375
Likes Received: 2
Trophy Points: 0

Nitumie hiyo lyrics plz,ninatakiwa kuomba msamaha hivi karibuni.

Loading...