Kipi bora?

Likwanda

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
3,912
1,125
Kwanini utamani watoto wa kishetani wakati mungu anataka akupe mtoto utayejivunia ktk maisha yako? Mshirikishe Mungu kupata mke mwema na mtoto mwema pia.
 

daughter

JF-Expert Member
Jun 22, 2009
1,275
739
Sasa huo ubora kwa either of the two we umeuna vipi kwa sio ushetani unakunyemelea?
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom