Nimechoka kuumia, wadau nisaidieni.

Jul 20, 2011
50
4
Nilikuwa na girlfriend niliyempenda sana, lakini ikajatokea tukaachana kisa ujumbe mfupi wa kwenye simu yangu. Nimemuomba msamaha miezi miwili sasa lakini hataki kunielewa, na nafsi yangu bado inamhitaji. Nitafanyaje sasa ili turudiane.?
 
Mapenzi yalikufaga zamaaaan,kijana ucpende xaaana kuwa lover boy,itakucost unachotakiwa uwe play boy iyo itakusaidia.
 
kuna wasichana wakihisi tu unauhusiano nje anakuacha sembuse smstena yawezekana yenye unyevunyevu wa penzi nje....hapo imekula kwako kama vip weka mistari hapa tuone ilitoka wapi na saa ngapmweeeeeeeee
 
hii tabia ya kuchokonoa inbox za simu za wapenzi zinaishia kuvunja mahusiano kwani si kila kilichomo kwenye inbox ndicho halisi japo kingine ni utangulizi
 
alikuwa anakutafutia sababu.
km angekupenda kikweli i SI sababu TOSHA ya kukununia/kukupotezea miez miwili
 
ujumbe wenyewe mbona wa salamu tu, ilikuwa hv: "vp mpenzi wangu siku hz umenisusa" na aliyeu2ma ni classment mwenzangu 2liyemaliza naye O'level.

sasa ujumbe huu ndo ulete matatizo mbona ni wa kawaida kabisa???
 
Mm kuna mmoja alikuta kondom akanambia unatumia na nani zote nkamwambia na ww,akasema N0 lazima atakuwa na wenzake kisa kuna cdm nyingi home,akasepa .mabinti wa siku hizi sijui wakoje.
 
jamani wakati mwingine tusipende kuintatain wapenzi wetu wa zamani kama tumeamua kuanza mahusiano mengine, je ww na huyo dada hamkuwahi kugombana sababu ya msg kabla ya hiyo? Ingawa na huyo dada naye alitakiwa kuwa na busara mana kuna wasichana wanafanya makusudi kutaka kuharibu mahusiano ya watu, ila kama huyo dada anakupenda kweli bas atakusamehe ila usiendelee kumuomba msamaha endelea na mambo yako mpotezee atarudi mwenyewe
 
Kama mtu hataki, unataka tukushaur nini? Mwache agongwe na wengine maana wewe umechakachua mwenyewe!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom