Mtoto wa Mashoga (midume iliyo oana)

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
2,925
1,827
Hivi mashoga wanapo asili (adopt) mtoto tutarajie nini kutoka kwa mtoto huyo atakapo kuwa mtu mzima?
 

Sumbalawinyo

JF-Expert Member
Sep 22, 2009
1,282
234
Natamani kuua tena.
Bora dhambi ya uuaji kuliko hiyo ya kubashiana halafu mnanunua watoto. Sijui mnataka kuwafundisha noini na kuleta kizazi gani kijacho
 

Mamaya

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
4,102
2,065
Inabidi uwasiliane na sir elton john ndio atakuambia anamfundisha nini yule mtoto aliyemwasili
 

morio

JF-Expert Member
Nov 24, 2010
208
69
Kuvumiliana licha ya tofauti zetu ndio nguzo muhimu ya ubinadamu duniani, ni shoga ndio anabaki ni binadamu kama binadamu mwingine.
 

fabinyo

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
2,828
1,656
.....nathani ule msema wa kithungu,...like faza like son or viisvesa hapo haupo..
 

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,483
1,358
Kwa kweli hukumu inayotokana na hivi vitendo sijui kama inaelezeka. Kilichobaki ni kumwomba mungu atuepushe na hii hali
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom