Nilikutana na Binti mmoja pale Mlimani City na kuanzisha naye mahusiano ya kawaida lakini baadaye akawa mpenzi wangu. Lakini baadaye yule binti akanieleza kuwa ameolewa na anaishi na Mume wake...
Kuna kituko kimetokea hapa Moshi mitaa ya double road jion hii, askari amemfumania mkewe akiwa na katoto kao kachanga 6 mnths, wakifanya ngono na dereva tax bubu ndani ya gari....! Mwanamke...
Habari gani wanajf? Me nina tatizo na hawa wa2 wa design hii! 2najua usiku ni mda wa kupumzika, mipango ya future kwa wahusika, kupeana uroda whether wa halali au usio wa halali. Ktk hili la uroda...
Kuna familia mbili wake na waume zao walikua marafiki sana kwa bahati mbaya mume wa mke m1 akafariki, yule mke mjane akawa anaendeleza urafiki na kuomba misaada kwa rafiki zake hao na mume wa...
Love is everywhere, in every type of relationship, waiting patiently to be discovered to those who are open to it.
1. Love Is Not Demanding - Giving is at every core of all that Love is. So if...
Huwezi kujua mchango wako mpaka pale taadhira zake (Impact) zinapoonekana. Wana MMU mjue kuwa kuja kwangu humu mmenisaidia sana kuandika Script ya Movie ya ukweli. Michango yenu imeonyesha kwa...
wanajf nilishawahi kupost siku za hapo nyuma kuwa napenda ngono sana.Lakini siku za hivi karibuni hii hali imezidi kuongezeka nina hamu sana ya ngono yani hata nikiangalia watu wanakiss kidogo...
BAADHI ya wanaume wenye maambukizi ya virusi vya Ukimwi (VVU) wanaotumia dawa za kurefusha maisha wamejikuta wakivimba matiti yao na kuwa makubwa kama ya wanawake.
Vilevile, wanawake...
Kwa watu wenye kufuata misimamo fulani ya kiitikadi kufuga midevu ni swala la Sunnha. Lakini mijanaume mingi hadi sehemu nyingine nywele huwa hazinyolewi hadi wapigizane mikelele na wapenzi wao...
Nahitaji kupanua wigo wa mambo ya ki-social kwa hiyo naomba mwana-jf yeyote yule wa kike aniPM ili tuweze kuona namna gani tunaweza kuonana wikiendi hii kwa ajili ya kubadilishana mawazo tu...
Je unadhani kwenye vurugu za kindoa, fedha haina mchango wake? Kama unadhani hivyo, utakuwa umekosea sana. Hebu soma kuhusiana na utafiti huu uliofanyika kule Marekani.
Utafiti uliowahi...
nina miaka 26 nina g.f ambaye yuko mbali kwa sasa sijaoa. umbo la wastani kg65, urefu cm164 napenda sana mpira situmii kilevii sipendi kwenda club elimu yangu ya juu... natafuta mrembo wa...
Which do you think is the most difficult/challenging stage of marriage?
First 2 years
While raising children
After the kids have moved out and gone
If none of the above,please give your...
Tendo la ndoa linapopewa uzito mkubwa kwenye uhusiano wivu ni lazima utakuwa mkubwa. Mtu akiacha tendo la ndoa na wivu huondoka. Wapenzi ambao hawapendani na kufikia mahali hakuna anayetaka...
Habari wana jamvi, naimani wengi wenu bado mpo kwenye maeneo yenu ya kazi...
Kwakifupi mimi ni kijana wakiume miaka kati ya 20-25, nafanya kazi kwenye duka la babaangu ya kuuza spare za magari...
Ndugu zanguni wana MMU nawasalimuni salamu za upendo wa dhati kabisa.NAWAPENDA SANA.
Jamani hapa mtaani kwetu kuna dada mmoja alikuwa na mpenzi wake wakaachana, lakini siku za jirani kapata katoto...
ni kweli msichana anapokosa mapenzi ya dhati kutoka kwa boyfriend wake na kuchukua uamuzi wa kuwa na mume wamtu inamsaidia kutulia na kuweza kuenjoy mapenzi?