Hii issue mnaionaje wanajf wenzangu?

Bagenyi

Member
Jun 29, 2011
26
3
Habari gani wanajf? Me nina tatizo na hawa wa2 wa design hii! 2najua usiku ni mda wa kupumzika, mipango ya future kwa wahusika, kupeana uroda whether wa halali au usio wa halali. Ktk hili la uroda unakuta wahusika wanafanya mapenzi huku wakipiga kelele tena mapema tu saa2 pengine hata watoto wa majirani hawajalala wakisikia @ kitu, wazazi wao nao wakiwa hawana cha kusema wakibaki kutizamana tu. Hii imekaaje kwenu nyie mnaoface tatizo hili km mie? Nawasilisha.
 
Entare3

Member
Aug 4, 2011
29
7
Hama mitaa hiyo great thinker.watu wapo nyumbani kwa
wanaburudika na nyie majirani mnasikia?huko ni uswahilini mno na hapafai kukalika.
Kama una watoto mitaa hiyo itawaharibu
 
Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,538
5,646
Hamia nyumba iliyostaarabika. Hapo hakuna ustaarabu, watoto wataharibika mapema.
 
OTIS

JF-Expert Member
Sep 7, 2011
2,242
803
Huwezi kumzuia mtu asipige kelele wakati anafanya mapenzi,its natural.
Kama hupendi nakushauri utafute nyumba isiyo na kelele au weka sound proof.
OTIS.
 
Tausi.

Senior Member
Aug 29, 2011
125
48
Hama mitaa hiyo great thinker.watu wapo nyumbani kwa
wanaburudika na nyie majirani mnasikia?huko ni uswahilini mno na hapafai kukalika.
Kama una watoto mitaa hiyo itawaharibu

Na watoto walivyomakini mbona ni balaa tupu, wakisikia kitu tu ndio watataka wajue kinaendaje, na kinaishaje, si ajabu ukasikia unaulizwa baba......tafadhali hama mapema mitaa hiyo sio mizuri, watoto hawatakuwa na maadili.
 
Kadada

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
202
203
wanasema mtoto mkunje angali mbichi acha watoto wasikie wakikuuliza waambie ukweli ili wajue mapema. watoto wenyewe hawa wa dot com unawezakuta walishajua kitambo hata akikuuliza ni kukusanif tu
 
BPM

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
2,761
572
kawaida ukikaa kwenye nyumba ukaona kero ni heri uhame maana kumbuka watoto wanatakiwa maadili mazuri ila kuna sehemu mtoto heri akue suala la maadili halipo
 
ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,774
6,527
Habari gani wanajf? Me nina tatizo na hawa wa2 wa design hii! 2najua usiku ni mda wa kupumzika, mipango ya future kwa wahusika, kupeana uroda whether wa halali au usio wa halali. Ktk hili la uroda unakuta wahusika wanafanya mapenzi huku wakipiga kelele tena mapema tu saa2 pengine hata watoto wa majirani hawajalala wakisikia @ kitu, wazazi wao nao wakiwa hawana cha kusema wakibaki kutizamana tu. Hii imekaaje kwenu nyie mnaoface tatizo hili km mie? Nawasilisha.

mkuu ukisikia tu na wewe kamatia wako na wewe uanzemikakati..
 
Kipeperushi

Senior Member
Aug 17, 2011
168
33
sasa kama nyumba ni yake ahamie wapi?[ teh teh teheee....! Mtihani huo mkuu, mi namshauri afungue gereji ya pikipiki DT chumbani kwake humohumo..! Apige full tank, aondoe exhaust kisha atulize mpira tuliii... Mziki ukianza tu, "anakuwa bize saaana na matengenezo ya DT yake, - piga lesi za nguvuuu...!" si unajua tena mambo ya DT baba !??? Wenyewe watamfuata "mzee tafadhali tunaomba punguza kelele kidogo"- sasa hapo ndio pa kuweka mambo yako hadharani. Wataacha tu mkuu, huko uswazi dawa ya moto ni moto tu...! Ukiona wanaendelea kuwa wabishi siku nyingine wala usibishane nao, we endelea na mchakato wako wa gereji-- Kila mtu yuko chumbani kwake bwana. Mwanangu hii dozi ukiitoa siku tatu tu utatupa majibu. Mi nimeshakutana nayo haya baba...!]
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom