Tamaa mbaya: Afumaniwa ndani ya gari...

Sabry001

JF-Expert Member
Jun 28, 2011
1,064
353
Kuna kituko kimetokea hapa Moshi mitaa ya double road jion hii, askari amemfumania mkewe akiwa na katoto kao kachanga 6 mnths, wakifanya ngono na dereva tax bubu ndani ya gari....! Mwanamke anamuwakia mumewe anamwambia yeye ndie chanzo manake haitunzi familia na hawezi ona wanae wakifa njaa so anaongeza kipato na mume anamlaani mkewe kuwa haridhiki eti elf 5 kila cku haitoshi au anataka ampe mshahara wote, mke anadai elf 5 ni per week na ako na family ya watu 8? Huyu dada anaongea kwa kujiamini mpaka nashangaa...ila nimebaki na maswali kichwani, NI KOSA LA NANI HAPO MUME? MKE? Au......!
 

Obe

JF-Expert Member
Dec 31, 2007
9,675
33,249
Kha! miezi 6, mh, shida zinamfanya ambemende mtoto jameni
 

Vin Diesel

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
9,095
6,321
Hizi threads zanifanya nizidi sogeza mbele suala la ndoa...back to the point...
Huyo dada ina maana ameshindwa kumfanya mumewe atoe hela mpaka afanye hivyo? Angempeleka ishu yake kwenye familia na hata kwa wazee kanisani...yangemshinda si angerudi tu nyumbani kwao.
Jamaa amekosea kutompa matunzo ila naamini huyu dada kuamua kuingiza kipato kwa staili hiyo basi inawezekana kabisa ikawa ni tabia yake.
Namuonea huruma huyo mtoto kwa kweli maana anateseka kwakuzaliwa na vichaa wawili
 

Chauro

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
2,970
1,470
huyo mtoto ndo alibebwa kuangalia mechi live wamama wengine bana!!!!maajabu hayataka yaishe
 

mdeki

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
3,301
463
hali mbaya ya maisha siyo kigezo cha kufanya upumbavu kama huo, ukiangalia kwa makini utagundua wanandoa wengi wana matatizo, wakati wako ktk uchumba waliahidiana mambo kibao cheki sasahv.
 

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
216,550
728,445
maswali ni magumu na majibu yake siyo mepesi............................hatujui yupi analonga ukweli........ingawaje shs 5, 000/= kwa wiki kwa familia ya watu 8 ni kazi kwelikweli....................................ila kama ni 5,000/= kwa siku watabangaiza vivyo hivyo...........
 

Evarm

JF-Expert Member
Aug 30, 2010
1,851
1,244
Yawezekana hata huyo mtoto pia si wa huyo askari ni wa hao wanaume zake wa pembeni:redfaces:
 

Thomas Odera

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
661
135
kazi ya askari ni kuhudumia nyumba ndogo lakini familia inaadhirika, ndio maana watoto wengi wa askari hawaendi shule kwa ajili hawajali
 

Kunta Kinte

JF-Expert Member
May 18, 2009
3,685
1,266
Usikubali kuua watoto sababu ya njaa, kama mume hajui kutunza shauri yake, yeye akisema wa nini sisi tunasema tutakupata lini!!!
 

mikatabafeki

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
12,790
4,621
yaani hadi wanabishan kuhusu hela ya matumizi huyo mama alikua hajatoka nundu tu???ha haaa haaa u got to be kidding me huyo basi kazoea kumfumania
 

mikatabafeki

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
12,790
4,621
Sasa mbona umesahau kupiga picha na kutuwekea uhondo wote?
sidhani ka huwa anatembea na camera mana ye sio mpiga picha

angeweza kupiga ila nadhani anatumia simu ya tochi

OTHERWISE KASIMULIWA AU ALIKOSA CHA KUFANYA NYUMBANI AKAANZA USHIGONGO
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom