Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna akina dada wawili wapo live studio wakitetea hoja ya kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja. Mmoja anasema anao watatu ambao anawapanga na hawajawahi kugongana. Kuna mwanaharakati anapinga hii ishu...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Wanandoa wengi sana wapo hatarini kuachana au kutengana na wengine tayari wameshapigiana stop ya usinijue, kila mtu kivyake ni vyema tukajikumbusha mambo ambayo yanachangia sana kuvunjika na...
5 Reactions
16 Replies
4K Views
1Mwanangu, sikiliza kwa makini hekima yangu, sikiliza vizuri maneno yangu ya busara, 2ili uweze kutunza busara na midomo yako ihifadhi maarifa. 3Kwa maana midomo ya mwanamke mzinzi hudondosha...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu wadau,leo nimekuwa na asubuhi mbaya sana na hata itapelekea kuifanya siku yangu nzima ya leo kuwa mbaya,nikiwa njian nakuja kazini asubuhi kutokea mwenge kuja posta,nashukuru nilipata...
2 Reactions
126 Replies
16K Views
ASLAM ALLEIKHUM WAHENGA !Asee katika maisha yangu naconfess nimewahi kuwa na ka uzuzu ka kufikili kumaliza mademu ni ujanja hivi karibuni nimejikuta from no were nkitoka kazini duka la movie huyo...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Jamaa hata wiki bado kichwa kimeanza kumpasuka!!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
ni mwaka3 sasa tangu nianze uhusiano na huyu kaka,kiuwezo tunatofautina sana but sikujali hilo nami nmejitahidi sana kumpa penzi langu,nimejitahidi kumtunza na nimekuwa nikimvumilia sana nami...
0 Reactions
35 Replies
7K Views
NINAHITAJI  KUA  NA  MWENZA  SASA  <BR>SIFA:<BR>MWENYE  KUJAZIA  KWA  CHINI  YA&nbsp...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kwanini mwanamke akionesha hisia za mapenzi kwa mwanume anaonekana malaya sababu ni nini?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna baadhi ya wanaume wanasema kuna wanawake wakuoa,huwa wanamaanisha nini?je wengine huwa wakufanya nini?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hivi mpenzi wako au mwenza wako anapokasiria umekuwa ukichelewa chelewa nyumbani na hivyo anakujia juu na kukuambia rudi huko huko kweli anafikiria nini? Hivi ukiamua kugeuza mlangoni na kwenda...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Kuna ripotii nimeangalia jana na kuona kuwa kumbe katika Tanzania watu wengi walioambukizwa HIV ni wale walioko kwenye mahusiano ya kudumu (ndoa). HIvi ni kwanini hili na wanandoa wanaweza vipi...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Juzi kuna rafiki yangu mmoja kanipa stori kwamba wana rafiki yao mmoja wa kike huwa anakula kipigo cha mbwa mwizi kutoka kwa boyfriend wake kiasi cha huyo dada kuwa na alama kama amewahi kuugua...
0 Reactions
72 Replies
6K Views
Wadau habar zenu!natumaini wazima!katika pitapita yangu leo nimevutiwa na ujumbe ufuatavyo!kama ulishawahi kupostiwa hapa JF niwieni radhi! Hakika Mugu ni mkubwa anaweza kila kitu chini ya jua...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
hivi kwanini napotongoza mwanamke napata shida kumfukuzia halafu nikishampata,nikilala nae nimpe hela wakati raha tunapata wote?kwanini?
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Kuna best(msichana) rafiki pia ni ndugu kwangu, alikuwa na mpenz toka yeye akiwa kidto cha tano na uyo mkaka anafanya kazi sehemu fulani hivi, yule mkaka alikuwa msaada mkubwa kwa uyo binti ile...
0 Reactions
83 Replies
7K Views
Kuna dada etu kaolewa dom lakini tangu kaolewa miaka 3 iliyopita amekuwa akichezea kichapo sana tokakwa mumewe ambaye ni mlevi na mkorofi sana ameshamvunja mkono dada mara mbili kwa kipigo.. Nipo...
3 Reactions
148 Replies
11K Views
So many women want to be married, yet for all the wrong reasons. They say things like, "I want somebody to make me happy," or "I need help with these bills," or, "I'm just tired of being alone!"...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Everyone already knows that they probably won’t have a romantic long lasting relationship with a woman who is a stri**er, for example. But besides this more obvious type of women, there are a lot...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…