Ndugu wana jf. Mimi nina rafiki yangu wa kike ambaye kimsingi ninampenda sana. Ni mwanamke anayejiheshimu sana japo kwa siku za hivi karibuni amekuwa na mapozi sana. Tangu nimekuwa naye kwenye...
Wakuu natumaini wote muwazima wa afya!!!!
Leo naomba wataalam wa mahusiano na saikolojia mnisaidie kuondokana na utata huu!
Ni muda sasa nimekuwa nikisikia kuwa Wana ndoa wakiishi pamoja baada...
Vijana wana kazi kweli kweli, wacheki hawa>nimewashuhudia pale Rozana wakisubiri usafiri asubuhi. >Me. Mambo
>ke. Poa
Me. Mzima
>Ke. Mzima.
>Me. Unaelekea wapi? Na story nyingine za...
About me:
-Christian
-Msomi
-Najitegemea
Mengineyo tutafahamishana zaidi
Sifa ninazohitaji kwa Mwenzi wangu:
-Awe mtu mzima miaka 35-45
-Christian mwenye hofu ya Mungu
-Awe anaishi Dsm
-Ameenda...
Mimi ni mke wa mme mmoja,tuna watoto wawili 2yrs na 10moths.Nilishamfumania live kwa small house tena chumbani nikasamehe,alishawahi tengeneza number ya kufanana na yangu akampa small hs...
Nakaa siku zote najiuliza sipati jibu nasijui ninani wakunisaidia kujibu hili nakila mara nikiuliza mara nyingi nimekuwa nikipewa jibu lisilo kidhi mahitaji ya kiu yangu yakutaka kujua !!Thank God...
Ni muda mrefu nimekuwa mwanachama wa CHAPUTA lakini sasa nimeamua kujitoa chamani na kutafuta demu.sifa za ninayemtaka: hata akiwa kicheche sio mbaya ilimradi awe tayar kutulia, awe mweusi...
Hivi inakuwaje mtu anatoa fedha kwa ajili ya msiba katika njia ambayo inaonyesha anataka kila mtu amuone? Kuna njia nyingi zenye kuonyesha kwamba mtu anatoa ili watu wamuone na sio kwa sababu ya...
Mnipige mitamko mwenzenu jamani, Zamani kilikuwa kiatu fresh tu ila sasa mikandambili.. yaani ukiwa mchezoni inatelezateleza tu bila mpango wowote.. utam wote wa mchezo unatoweka.. ila ndo chako...
Huyu ni kama dada yangu, ni mwalimu wa shule ya msingi katika shule moja mkoani Tabora na kiumri anaelekea 30 hivi, nilimfaham baada ya kupanga kwetu miezi kadhaa iliyopita, ana bwanake ambaye nae...
Kwenye mapenzi kweli lawama zikiongezeka zinaumiza sana yaani, kila mara mtu unaonekana hauaminiki, unafanya vitu vingi tu tena vikubwa kwa ajili ya future lakini kila mara ni kuonekana mkosefu...
for centuries we africans have been crying out about racism or prejudice we face in almost every aspects of our lives..and it has all been about white on black racism but what about this newly or...
Mara nyingi utasikia Mzazi anamkaripia binti yake anayehisiwa kuwa ana boyfriend kwa kauli kama..'ATAKUPA NINI HUYO'??..
Hivi kauli kama hizi haziwezi kuwa ndio kichocheo cha hawa mabinti hata...
Ndoa nyingi zimekuwa na msuguano mbalimbali na hii ni kutokonana na ongezeko la joto duniani
lakini pamoja na hayo bado watoto wanazidi kuzaliwa kwenye ndoa hizo hizo za mikeke na basharati...
Habari zenu wapendwa,kuna met wangu hapa oficn ana tatizo ambalo hata yeye mwenyewe haelewi ni tatizo gani,ni mtu ambaye relation zinamsumbua sana,amekuwa akitendwa mara kwa mara kwa ni mtu mwenye...
Kuna msichana ambaye nilitokea kumpenda nikiwa kidato cha nne miaka ya nyuma,tukawa wapenzi ila kwa mawasiliano cz mi nilikuwa shule mbali sana na anakosoma yeye.Nilipomaliza kidato cha sita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.