majibu ni haya;
1. kutongoza si kazi ngumu kama unavyodhani
2. kumpa hela ni agreement mliyokubaliana au ni vile unatembea na mwanamke ambaye anajiuza, hata asipokuomba pesa unajua lazima anahitaji pesa ya huduma yake
3. raha wote tunapata ila ndo asili/tamaduni zinamshusha mwanamke kama mtu asiyekuwa mtafutaji, ombaomba, dhaifu. pia kwa taarifa yako mwanamke ndiye anayepata raha zaidi.... X times zaidi yako.
ni hayo tu