Kumbukumbu ya Mpendwa Baba yetu

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
6,829
1,296
Wapwaz na binamz !

Leo imetimia miaka 10 tangu mpendwa baba yetu Mzee Paul Joune Sadiki alipoitwa na bwana tarehe 10 Novemba 2001!

Tunamshukuru Mungu kwa maisha yake na kazi kubwa aliyoifanya ya kutulea na hakika kutuandalia maisha yetu ya hivi sasa

Jina la bwana libarikiwe.

Amina.

Wathesalonike wa 1 , Sura ya 4; mstari 13-18
 
Remember you.jpg

Pumzika kwa amani.
 
Perhaps they are not the stars,

but rather, openings in heaven

where the love of our lost ones pours through
and shines down upon us to let us know they are happy.


Be strong my dear M_J and pray he rests in Peace. Tuko pamoja
 
If you have friends, in grolyland
Who left because of pain
Thank God up there, they will die no more
They will suffer not again

So weep not frieng, he went home
And we shall meet once again with our loved ones
To gather there around the throne
 
wapwaz na binamz !

Leo imetimia miaka 10 tangu mpendwa baba yetu mzee paul joune sadiki alipoitwa na bwana tarehe 10 novemba 2001!

Tunamshukuru mungu kwa maisha yake na kazi kubwa aliyoifanya ya kutulea na hakika kutuandalia maisha yetu ya hivi sasa

jina la bwana libarikiwe.

Amina.

Wathesalonike wa 1 , sura ya 4; mstari 13-18

great job dady rest in peace

mpwa ujatuambia ameleta vidume na dada zetu wangapi tumuingize kwenye gunness book ama gold members

big up dady
 
Mpwa naomba nimpongeze dady kwa kuleta kichwa cha jf kinachosoma nyakati nikiona mawazo wako nahisi pepo
mungu akuweke wewe na familia yako/yenu ppopote mlipo mwanga wa baraka uziidi kuwaeemeaa na adui shetan asikaribie nyumbani mwenu
mshike mungu simameni na mungu akuna kinachoshindikana kwa yesu alichowafanyia baba yesu atawafanaayia zaidi
 
Back
Top Bottom