MwafrikaHalisi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 1,741
- 512
Jamani Wazanzibari hata kama mnavunja muungano basi isiwe kwa shari msije tupeperushia njiwa wetu ati. Wengine sie shemeji zenu. Hala hala kidole na macho. Natumai kujamiiana (socialization) kutaendelea kama kawaida. Ahsante!