Wamama wengi ama wabinti wamekuwa sana busy na mambo ya kujiremba sikuhizi
mbaya zaidi kuna amabo wanaenda kwenye nyumba ndogo wakiacha watoto kwenye nyumba ya jirani
sijasema wewe vipi mbona...
Ni mwaka mmoja sasa tangu tuhitarifiane na mpenzi wangu wa awali ,sababu ya mimi na yeye kukwaruzana na kuachana ni pale nilipohitaji kujua ukweli wa jambo fulani baada ya kulisikia,lakini...
Hello wana jf. Ni tumaini langu mpo good! Katika hali isiyo ya kawaida nimegundua dada yangu ana mahusiano ya kimapenzi na njemba nyingine pale nilipomfumania akitoka gesti naye bila yeye...
Siku hizi wanaume hupata mapenzi kirahisi sana kutoka kwa wanawake kuliko ilivyokuwa huko nyuma. Hata ukiongea na mzee mwenzangu Bishanga atakubaliana na mimi.
Zamani enzi zetu makahaba walikuwa...
Wakuu wa jf,mimi ni mwanaume miaka 29,niko masomoni nje ya nchi nategemea kurudi Tz mwakani by june,natafuta mweza wa maisha ili tuanze mawasiliano saizi ili nikifika tumalizie tu taratibu za...
Tangu siku mliyompiga 'mkwara' apunguze kutupatia elimu dunia kuhusu wanawake eti kwa kigezo anawakata 'steam' mimi kama mwanaume ninasikitika sana. Yaani mengi na elimu nzuri tuliyokuwa tukiipata...
Pengine umekuwa ukidharau wazazi wako na kuanza kuitupa mbali ile amri aliotumba mungu
wetu waheshibu baba na mamako upate kuishi miaka mmingi,....wapo watoto wa leo wanazaliwa
wanapata kazi...
Kweli hizi tabia zinakera sana wanaume na ndo zinafanya wengine mnakosaga kabisa wakuwaoa mnabaki kubanana na wanaume za watu.
1. Tabia za kujifanya high class
2. Kila ukipewa outing unakuja na...
Ndiyo, si mliamua tu kulea mimba zetu-mngeamua kuzitoa nani angewazuia.
Eeeeeeee! Hata tukiwaudhi mnatupikia chakula na kukitenga mezani, tukirudi home tunakula, mkiamua kuweka sumu si wote...
Kuna watu wamekuwa dedicated na ukoo awataoa kabisa kabisa
ndio maana utakuta kuna mabinti wazuri kweli ama wanaume handsome
ukimtajia mwanamke/mwanaume aoe anaruka kimada na umri unazidi kusonga...
jamani wazee wa jamvi habari zenyu.
mimi nimepata mchumba mpya 2medate 2kutane lkn yy bikira, so napenda niwaulize maswali macache.
1. je nikukutana nae naweza kurudia zaidi ya mara moja?
2...
Habari zenu ndugu zangu,
Ukweli usiopinga ni kuwa mzazi (bila kujalisha alivyo) ana sehemu kubwa na ya muhimu kwenye maisha yako katika ujumla wake. Nimelia sana leo baada ya kumuona mama mmoja...
Nasikiliza dada mmoja clouds anasema anaomba msaada atambadilishaje mwenzie mbaili kama nini
ingawa analipwa hela nzuri tu lakini siku mkienda outing utashangaa anaanza am broke am broke today...
Ushawafi kugombana na mamaa,halafu mkachuniana,then baadae mnarudiana,pata picha mlivyomisiana..penzi linakuwa jipyaaaa...raha sana kuwa na likizo kidogo kwenye mapenzi..jaribuni.
Ila wengine...
Kuna rafiki yangu amewahi kumtukana galfrd wake matusi ya nguon bt cha kushangaza huyu binti hakomi,bado tu anamg'ang'ania msella.sa hayo ni mapenzi au ujinga maana keisha tukanwa sana pamoja na...
A few easy pointers to get yourself a sugar daddy. easy to follow and its all based on my personal experiences.
Overview your choice so you know you're not going...
kazi ipo pengine wewe ni mmoja wa unaowatia wenzako majaribuni
usimjaribu mwenzio jamani ,mwisho wa siku mchungaji akikuomba ukampa umelaaniwa na kanisa zima ingawa itakuwa siri yenu
embu...
"...mwanamke huhitaji kila kitu kwa mwanaume mmoja,
mwanaume anahitaji kitu kimoja kwa kila mwanamke..."
NB; Mind Your Language!
Moderators wanatambua uwepo wa mdahalo huu...
Ukitaka ufaidi raha ya MAPENZI, usifanye na POLISI maana atakwambia "Mikono Juu" wala usifanye na Mhasibu maana atakwambia "Na huku lazima i-balance" au Nesi maana utasikia akisema "Mwingine...