Hati ya talaka ni kweli ilikuweko katika jamii ya kiisraeli mwanamume aliweza kutoa hati ya talaka lakini sio kwa kila jambo hasa ni katika uzinzi ambao tutauongelea zaidi katika agano jipya Yesu...
jmn nilikuwa na mpenzi na nilikuwa nina mpenda cna kuliko chchte ila cha kushangaza ghafla alipotea ktk mazingira ya kutatanisha kwenye cmu hapatikani kweny facebook haonekani kweny badoo simuoni...
Napenda kujua historia ya mtu katika relations kabla ya ku-stick nae.
Lakini hii niliyo pewa ime nivunja moyo na sidhani kama hua namaanisha
pale ninaposema napenda ukweli,...the truth...
Habari zenu jf!mimi ni kijana wa miaka 29.natafuta rafiki wa kike wa kuwa karibu na mimi,mpaka 2funge ndoa.nafanya kazi..Mwenye sifa zifuatazo tuwasiliane kupitia jonathan@gmail.com
1.Mzuri...
Moyo wangu unagiza kuu
Ni mpweke sana sana...
Uko wape eh binti mwenye kujua mateso ya moyo mpweke?
Uko wape ehh binti ,wenye funguo ya kuutoa upweke wangu?
Njoo ee malaika,mrembo na ua...
​
malezi ni kati ya maswala nyeti yanayopaswa kupewa uzito unaostahili miongoni mwa wazazi, familia, jamii na Kanisa/msikiti kwa ujumla. Hii inatokana na uwepo wa mabadiliko makubwa katika...
salam wana jf.mimi ni mwana mama mume wangu hataki nifanye kazi anataka nitunze familia iyo nimekubaliana nalo.lakini mume huyu huyu hana upendo kabisa yeye kurudi ni manane ya usiku na vituko...
Mornin wana JF,
cku hizi udanganyifu ktk mapenzi limekua jambo la kawaida sana. kila kukicha relationships znabreak kwasababu ya
uaminifu umekuwa zero!..nimejaribu kuangalia kwa undani chanzo hasa...
TYPES OF HUSBANDS
WAKINA DADA ANGALIENI WAUME ZENU WAPO KUNDI GANI
WABABA HEMBU TUSOME HAPA TUJE TUPO KWA MNYAMA YUPI
Haya......kazi ni kwako...
MR MONKEY
Mr Monkey is only married on...
Mimi ni kijana wa miaka 26 kabila langu ni mchaga na ni mkristo mkatoliki, nafanya kazi za kutengeneza ingine, gearbox na diff za malori. ninahitaji kuoa na ninatafuta mke. sifa za mke...
Kuna binti m1 jirani yangu ktk rukaruka zake kapata mimba,jamaa wake kamshauri wakaitoe,yeye hataki na anakaa na bibi yake.Kaja kwangu kuomba ushauri,nimshaurije jamani?naombeni msaada wenu
hi boys and girls ladies and gentlemen am look friend to chat with regardless to level of education and other factor am at forest institute at arusha
region ma phone number is 0766849317...
Kama kungekuwa anapokufa mtu basi na ibada inakufa basi waumini wengi wangeama dini zao
Pengine umekutana na matatizo mengi ya maisha na wengine mmefiwa na wapenzi wenu
Leo naomba muwe na imani...
Najua ni ijumaa nyingine ya furaha hasa kwa wale wanaopokea mishahara kuanziatar 18 nk na leo wameungana na kwa furaha na wale wanaosubiri mpaka tar 37 ama 40tena wanakunywa na kufurahi kwa pamoja...
NATAFUTA MSICHANA AU MWANAMKE WA KUOANA:
SIFA ZAKE:
1. UMRI: Kuanzia miaka 14 mpaka 65
2. ELIMU: Sio Muhimu
3. AFYA: i) Awe Tayari Kupima magonjwa yote ya kuambukiza
ii)...
Kuna tatizo linansumbua sana..Ex wangu ambae tuliachana nae kama mwaka hivi umepita, amerudi kwa kasi kuniomba turudiane..juzi usiku wakati nipo na girlfriend wangu,alinitumia meseji, kwa bahati...
Nalewa hata katikati ya wiki....huyu mke wangu ananikondesha,ana mdomo nye acheni tu.
hapa naelekea nyumbani huku natunga sound za kumwingilia,
ni mbishi,ana kiburi,nikiwa serious kumweleza mambo...
Awe mchaMungu, umri usizidi miaka 27, awe tayari kupima VVU, mweupe au maji ya kunde, mrefu wasitani, asiwe na watoto na hajawahi kuzaa au kuolewa, mtanzania, mzuri wa umbile, mcheshi, wafanyakazi...
Je, mlishawahi kujiuliza ni kwanini ma-house girl huwavutia waume zenu kuliko nyie wake zao?
Nyie wanawake ndio wa kujilaumu kwasababu tatizo liko kwenu na sio kwao wala kwa waume zenu…...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.