Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimekuwa nikijiuliza hili swali kila siku, Wana JF ambao mmeajiriwa maofisini, hivi huwa mnapata muda kweli wa kufanya kazi za ofisi? Na mada mnazoposti hususan za mahusiano huwa mnazipata wapi...
1 Reactions
59 Replies
4K Views
Muda huu tunapoongelea uhuru wa miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika, kuna mwanamke hapa Chan'ombe Dodoma limemshuka, tena looooooooooooooote! Ameolewa ana miaka 9 ktk ndoa yake ingawa hajabahatika...
1 Reactions
53 Replies
4K Views
Kwa muda nimekuwa nikiwachunguza wanawake/wasichana ambao wanaingia katika mahusiano/ndoa kutoka katika familia ambazo wazazi wametengana au waliwahi kutengana. Kwa wachache nilipata fursa ya...
5 Reactions
19 Replies
3K Views
Wadau naomba mawazo yenu. Kuna binti tuko nae chuoni,ila nilifahamia nae zaidi baada ya kuattend conference pamoja hivi karibuni. Tukabadilishana namba na tumekuwa tukichat tu mara kwa mara.saa...
0 Reactions
58 Replies
4K Views
Wanadamu tumekua wepesi kuomba, lakini wazito kushukuru. Napendekeza kwa wale ambao wameshafanikiwa kupata wachumba/wake/waume kupitia safu hii ni vyema wakarejea na kutoa shukrani zao ili na...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
daah! Mpaka nimechoka yan nimetafuta wa kunliwaza na kunituliza moyo nimekosa nifanyeje!
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Natafuta kachumba ka nguvu..kama upo powaaa
0 Reactions
13 Replies
1K Views
1. Kuna watu hawawajali wapenzi kwa sababu wapo, thamani ya mpenzi ni pale utakapo mpoteza; 2. Kuna wanawake wenye bikira wanatafuta wakuzitoa, utaitamani lakini haitarudi 3. Kuna wanaume...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Ni kisa cha kweli kunarafiki yangu wa kiume alijiingiza kwenye mahusiano ya kimapenzi na msichana ambaye alikutana nae wakiwa wanachart facebook,na ilichukua mda mpaka anamtongoza,wakakubaliana na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
haya hebu mniambie unamuitaje huyo wako wa moyo maana majina ni mengi nwdays
0 Reactions
66 Replies
7K Views
Life is like a trade. What is trade? -Trade is any exchange; you give what you have for what you need. -In Trading you release your liabilities and your acquire assets because all of us have God’s...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Am looking for friends,nasoma kidato cha tano hapa mwanza....napenda amani.0752 202052 AU 0715 206048
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Unakuta umeenda kwenye show ya msanii flan na mpenzi wako,cha kushangaza huyo mpz wako anajifanya anaenda kumtuza huyo msanii afu anamkatikia mauno as if wanajuana..inanikeraga sana hii tabia.
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Hiki ni kisa cha kweli kimetokea leo Mjini Dodoma. Endelea kupata uhondo............ Mtu anatoka 'guest' kufanya 'mambo' na mpenzi wake. Bahati nzuri ghafla anamuona dada yake naye anatoka...
0 Reactions
54 Replies
5K Views
Ni katika kusherekea miaka 50 ya uhuru. Ninatoa ofa ya kula chakula cha usiku na kuburudika kwa mrembo yoyote wa jf atakayekuwa tayari tuwasiliane 0657 93 83 95. Hppy brthday TANZANIA.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
In her book, Dr. Holly Hein explores infidelity and teaches how to cope with its aftermath. By understanding the motivations behind the affair, betrayed spouses can learn to heal and rebuild...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
habari zenu ndugu zangu
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Wapendwa wana JF..katika kuchagua mwenzi kila mtu ana criterias zake.Lakini inatakiwa ikumbukwe kwamba si lazima utakutana na ambae yupo totally perfect..hakuna mwanadamu kamili..ila baadhi yetu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nikiwa safarini hivi majuzi nimesikia kupitia BBC kuwa mkenya mmoja aishiye London Uingereza amehukumiwa kwa kumbaka mkewe. Kisa, alifanya naye mapenzi bila ridhaa ya huyo mkewe. Nikawambia...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kwa wanaojua suala la 'sick building syndrome' watakubaliana nami kwamba mtu unaweza ukawa mgonjwa ili hali si mgonjwa. Kwamba baadhi ya vitu unavyoishi navyo ndani ya nyumba au nje vikawa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom