Ananisumbua...!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ananisumbua...!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by sijui nini, Nov 30, 2011.

 1. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #1
  Nov 30, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Nawashukuruni wana Jf woote kwa michango mbalimbali mnayotoa...baada ya kufatilia kwa kina juu ya michango inayotolewa na wadu mbalimbali nimeona leo na mimi nitoa langu lililo moyoni..OK, mimi nina mwanamke naishi naye (hatujafunga ndoa bado ila tunatagemea kufanya hivyo haraka iwezekanavyo) na tayari taratibu zoote zimeshaanza...tunapendana sana na tunaishi kwa furaha ukizingatia tunatarajia kupata mtoto mda si mrefu ujao..

  Tatizo linalonikera ni kuna binti mmoja ambaye nilishawahi kuwa na mahusiano nae zamani (enzi tunasoma) lakini akawa ananiletea nyodo sana na baadae kunitema (alikuwa anaonyesha dalili zote kuwa kuna mwanaume mwingine alikuwa nae ingawa alikuwa anakana sana) na kweli baada ya kama mwaka mmoja hivi kupita nikjasikia kuwa amepata ujauzito kwa huyo mwanaume niliyekuwa namhisi..kipindi chote hicho tangu kanipiga chini tulikuwa hatuna mawasiliano yoyote mpaka alipokuja kujifungua ndo siku moja akanipigia simu na kujiongelesha pale yakaisha(enzi hizo mi niko zangu bize na chuo napiga mzigo)..baada ya muda tena kupita kimya kimya mamaake tena akanipigia simu kuniomba nimsaidie mwanae(huyo msichan aliyejifungua) kuhusumambo ya form za mikopo kwani alikuwa anataka kuendelea na chuo(wakati huo mi ndo nilikuwa namaliza so akajua nitakuwa nafahamu process zake)...basi mi sikuwa na kinyongo chochote..nikamsaidia mpaka akakamilisha na kwenda zake chuo huko Moro (mi nilikuwa UD).

  Kuanzia hapo akawa anataka sana tuwe tunawasiliana kama marafiki wa kawaida (na kwa vile mi nilishaanza mipango yangu ya kumfukuzia huyu niliye nae saiz sikuona ishu maana moyo wangu ulishahama kabisa kwake) so tukawa tunawasiliana fresh tu ingawa mara chache alikuwa anajaribu kuchomekea mambo ya love ishuz lakini mi nikawa napotezea tu..kuna kipindi tukawa hata tunakutana nae kitaa (tunakaa karibu ofcoz na kozi aliyochukua chuoni inafanana na niliyochukua mimi so akawa anajaribu kuwa karibu sana ili nimsaidie - mi ndo nilivyokuwa naona) na pale nilipoweza kumsaidia nilifanya hivyo na pale niliposhindwa nilimpa live kuwa siwezi!

  Sasa bwana tatizo likawa kila nikitoka kuwasiliana naye hivi mfano kwa simu basi baada ya muda huyo mshakaji wake anapiga au kutuma sms za matusi kwamba mi ni nani na natafuta nini kwa mkewe!? anatukana sana yaani mpaka nakereka..kuna kipindi niligoma kabisa kupiga/kupokea wala kumtumia sms yule msichana..siku moja akaja home nikampa ukweli na kumwambia mimi saiz nina mtu ambaye natarajia kuwa mke wangu pia so usumbufu huu sitaki..akapanick sana yule dada baada ya kujua nina mtu..akawa mara kwa mara anataka tuwasiliane(bahati nzuri nilishamueleza mwenzangu juu ya huyu msichana)..na sasa ikafika kipindi akawa ananionyesha wazi kuwa anataka turudiane(wakati nilishamueleza nina mtu)..wakati huo jamaa yake nae matusi kama kazi...siku moja ilibidi nimkalishe chini na kumuuliza juu ya huyo mtu anaenitusi vile, akasema ki ukweli na yeye amechoka na tabia yake hiyo na anafanya hivyo kwa kila mtu na anajuuuta kwa nini alizaa nae kwani hakuwa chaguo lake na mimi ndo chaguo lake..mi nikamwambia its too late kwanza nategemea kuitwa baba soon na hata ningekuwa bado nipo single kwa ulichonifanyia sidhani kama ningekupenda kama mwanzo..lakini yeye bado hataki kuelewa...kila siku meseji na simu(ingawa sipokei wala kujibu) lakini kialakituma sms mwanaume wake akiona tu ugomvi na nilisha mkataza sana kuhusu kuwasiliana na mimi lakini yeye anadai bado ananipenda...mke wangu(ninaeishi naye) anajua yoote hay lakini kuna kipindi huwa namuonea huruma kwa wasiwasi anaouonyesha (ingawa anadai ananiamini...ofcoz tunaaminiana sana na mke wangu) ila hii inazidi kipimo...naomba ushauriwenu...nim\fanyaje binti huyu jamani...!??
   
 2. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #2
  Nov 30, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Paragraphs please...thank you
   
 3. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #3
  Nov 30, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  mpigie huyo mkaka na kumwambia kua huna mahusiano na demu wake na ww una wako so amtulize huyo shori wake home asije kukuharibia mahusiano yako bure au hata kumletea mkeo pressure na kumsababisha kujifungua kabla ya time ok....
   
 4. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #4
  Nov 30, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  nimeshafanya hivyo mara nyingi tu but haelewi...isitoshe hata huo mda unampigia kumueleza yeye anaona kama unamsanifu hivi...so wewe unaongea vitu vya maana mwenzio anamwaga utumbo na matusi tu..
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Nov 30, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,427
  Likes Received: 22,347
  Trophy Points: 280
  meseji za huyo msichana pamoja na za bwana wake anayekutukana peleka polisi kafungue kesi, peleka wao mahakamani.
  Iweje magumegume waliomshinda mtume na manabii wakupasue kichwa?
   
 6. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #6
  Nov 30, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  nimekuwa nikifikilia sana juu ya hili...
   
 7. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #7
  Nov 30, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Kaka amua leo kusitisha hizo bugdha, badili namba ya simu kama unaweza, au wasiliana na huyo mama yake amwonye mwanae.
  Kama alisusa sasa nini kinachomrudisha!
   
 8. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #8
  Nov 30, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Alitema badhoka kwa karanga za kuonjeshwa!! Mwambie alee mwanae bana
   
 9. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #9
  Nov 30, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  nilishawah kujarib kuongea na mamae lakin wote ndo walewale...saiz nimeamua kupotezea tu yeye na mwanaume wake..
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  Nov 30, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,230
  Trophy Points: 280
  akipiga mpe mkeo amalize mchezo.
   
 11. N

  Nico jonas Member

  #11
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 26, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapo umenene kaka.
   
 12. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #12
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,660
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  usifikirie tuu..chukua hatua bro....itafika wakati huyo mkeo ataona kuna kamchezo kana chezwa. Mpotezee kabisaa,hamna kumpa nafas ya kumsikiliza..
   
 13. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #13
  Nov 30, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mapenzi yana mambo mengi mkuu. Jihadhari kabla hayajawa mambo mazito kuto kwa wote hao watatu nikimaanisha mke wako, zilipendwa na mume wake. Fanya maamuzi sahihi sasa. Mimi huwa siruhusu kabisa ukaribu na binti yeyote asiyeeleweka. Mpaka kuanza kumfundisha, ulifanya makosa hapo.
   
 14. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #14
  Nov 30, 2011
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Khaaa ! Acha kutu changanya yawezekan hata wewe pia unampenda ndiyo maana bado unawasiliana naye.
   
 15. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #15
  Dec 1, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hahahaha, huu msemo sijawahi uskia, ngoja niuweke signature kabisa!
   
 16. ldd

  ldd JF-Expert Member

  #16
  Dec 1, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 794
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  badilisha namba na hama mtaa!
   
 17. v

  valid statement JF-Expert Member

  #17
  Dec 1, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 160
  Block namba yake huyo mpenzi wa zamani. Ili akikupigia asikupate.
   
 18. evelyne

  evelyne Member

  #18
  Dec 7, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  huyo mkeo anaumia ila hasemi anavumilia ..........swali atavumilia mpaka lini........tafakari na chukua hatua haraka
   
 19. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #19
  Dec 7, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  inategemea na mwanamke ! wengine hua hawapendi kashda ati!!
   
 20. kussy

  kussy JF-Expert Member

  #20
  Dec 7, 2011
  Joined: Jun 15, 2010
  Messages: 346
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Badili namba ya simu ! Wakiendelea kawashtaki.
   
Loading...